Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa
mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka aliyemtembelea Makamu wa Rais ofisini
kwake leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka mara baada ya
kumaliza mazungumzo ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa mkoa
wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini
kwake ,Ikulu jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment