Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) Rogers Kibula akimuelezea maendeleo ya wagonjwa
wa Moyo waliolazwa katika wodi namba tatu Mohammed Barhoumi ambaye ni
Makamu Rais wa Kampuni ya Medtronic kutoka nchini Lebanon ambao ni
watengenezaji wa vifaa tiba vya magonjwa ya Moyo alipotembea Taasisi
hiyo leo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa.
Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea jambo na
Mohammed Barhoumi ambaye ni Makamu Rais wa Kampuni ya Medtronic kutoka
nchini Lebanon ambao ni watengenezaji wa vifaa tiba vya magonjwa ya Moyo
alipotembea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu
ya moyo zinazotolewa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimuonyesha jengo la
Maabara Kuu ya Taifa (halipo pichani) Mohammed Barhoumi ambaye ni Makamu
Rais wa Kampuni ya Medtronic kutoka nchini Lebanon ambao ni
watengenezaji wa vifaa tiba vya magonjwa ya moyo. Kushoto ni Divin
Akaba na kulia ni Stranix William wote kutoka Medtronic.
Daktari Bingwa ya upasuaji wa
magonjwa ya Moyo kwa watoto Godwin Sharau akimueleza jinsi wanavyofanya
upasuaji wa moyo kwa watoto Mohammed Barhoumi ambaye ni Makamu Rais wa
Kampuni ya Medtronic kutoka nchini Lebanon ambao ni watengenezaji wa
vifaa tiba vya magonjwa ya moyo. Kulia ni Daktari wa Upasuaji wa Mgonjwa
ya Moyo Hussein Hassanali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Mohammed
Barhoumi ambaye ni Makamu Rais wa Kampuni ya Medtronic kutoka nchini
Lebanon ambao ni watengenezaji wa vifaa tiba vya magonjwa ya moyo mara
baada ya kumaliza kutembelea Taasisi hiyo leo na kujionea kazi
mbalimbali wanazozifanya.
Picha na Anna Nkinda – JKCI
No comments:
Post a Comment