Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto), akiongozwa na
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya
Tanganyika, Saleh Mhando wakati akiwasili ofisi ya mkoa huo kwa ziara ya
kikazi ikiwa na lengo la kuona changamoto za masuala ya ulinzi na
usalama na kuyatafutia ufumbuzi.Wengine ni viongozi wa serikali mkoani
hapo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi
ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando (kushoto),
akitoa taarifa ya Mkoa kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu
Waziri huyo mkoani hapo ikiwa na lengo la kuona changamoto za masuala ya
ulinzi na usalama na kuyatafutia ufumbuzi. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Katibu Tawala Mkoa wa Katavi,
Paul Chagonja akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati wa ziara
ya kikazi ya Naibu Waziri huyo mkoani hapo yenye lengo la kuona
changamoto za masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia
ufumbuzi.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Lilian Matinga. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wakwanza kulia), akimsikiliza
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika,
Saleh Mhando, wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo mkoani
hapo kwa lengo la kuona changamoto za masuala ya ulinzi na usalama na
kuyatafutia ufumbuzi.Wengine ni viongozi wa mkoa huo kutoka kada
mbalimbali. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia),akiwa katika
picha ya pamoja na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa
Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando,(wapili kulia). Naibu Waziri alifika
mkoani hapo kwa ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kuona changamoto za
masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia ufumbuzi. Wengine ni
viongozi wa mkoa huo kutoka kada mbalimbali (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment