Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(MB)
akimsikiliza Mbunge wa Iramba Mashariki Mheshimiwa Allan Kiula wakati
walipo kutana katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Waziri Mkuu yupo
Mkoani Dodoma katika kushiriki Mkutano wa Sita wa Bunge la Kumi na moja
amabao umeanza leo Tarehe 31 January 2017
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment