Ofisi
ya Waziri Mkuu inapenda kuwatangazia Umma wa Watanzania pamoja na
Wadau wake wote kwa ujumla kwamba, kuanzia Tarehe 1/2/2017 Anuani ya
Ofisi ya Waziri Mkuu itakayo tumika ni S.L.P. 980 DODOMA na SIMU: 026
2322480 Barua pepe: ps@pmo.go.tz. Badala ya Anuani ya sasa Ambayo ni S.L.P 3021 DSM.
Hii ni kutokana na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuhamia Makao Makuu ya Serikali Dodoma.
Karibuni Dodoma
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
OFISI YA WAZIRI MKUU
31/1/2017
No comments:
Post a Comment