Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia
kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya
mizigo mizito wakiwepo na Viongozi mbali mbali, ikiwa ni shamra shamra
za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Vifaa
vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito
inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
Vifaa
vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito
inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.
0665 /////
Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo
mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo
vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini
Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini
ikiwemo Makontena leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub
Mohamed Mahamoud,[Picha na Ikulu.
0729 ////// Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla
Juma,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja katika Uzinduzi
wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo makontena ya mizigo
mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
1086 ///
Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria katika Uzinduzi wa Vifaa
vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo makontena ya mizigo mizito
leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kushoto) akipata bmaelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Bandari Cpt.Abdalla Juma,kuhusu utendaji wa Vifaa vipya vya kufanyia
kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya Uzinduzi
uliofanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment