Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,
Lulu Msham Abdalla wakati alipofika kutembelea Kiwanada cha Matrekta
huko Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo,(katikati) Waziri wa
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo
na Uvuvi Dkt.Islam Seif Salum wakati alipofika kutembelea Kiwanada cha
Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali
mbali wa Serikali wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Kiwanda
cha Matrekta Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) kuhusu mashine
zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake, wakati alipofika kutembelea
Kiwanda hicho leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,(wa pili
kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid
Mohamed.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kushoto) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na Viongozi mbali
mbali wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Kiwanda cha
Matrekta Mbweni Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) walipofika kuangalia
mashine zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake, wakati walipofika
kutembelea Kiwanda hicho leo huko Mbweni Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja,(wa pili kulia)Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
Mhe,Hamad Rashid Mohamed.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Baraza la
Mapinduzi na watendaji mbali mbali wa Serikali wakati walipotembelea
Kiwanda cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja,(kushoto)Mkuu wa Kiwanda Nd,Mohamed Omar.
0008
/////// Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid
Mohamed alipokuwa akitoa maelezo mafupi na kumkaribisha Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) kuzungumza na wafayakazi wa Kiwanda cha Matrekta Mbweni
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo,baada ya kukitembelea akiwa na
Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali Serikali.
0034
///// Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wafanyakazi wa Kiwanda
cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo,alipofayna
ziara maalum ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe wa Baraza la
Mapinduzi na watendaji mbali mbali wa serikali,[Picha na Ikulu.] 02/01
2017.
No comments:
Post a Comment