|
Mama Mary Kenan (kulia), ambaye ni mjane wa
marehemu akifarijiwa na dadake, Kenan Mhaiki Rubani
Mtendaji mstaafu wa wakala wa
ndege za serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi,
jijini Dar es Salaam Januari 2 2017. Mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda
Songea Mjini Mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika Januari 4,
Makaburi ya Matogoro.
|
|
Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Leonard Chamriho akitoa
salamu kwa niaba ya serikali wakati wa ibada ya misa na shughuli ya kumuaga
Rubani na Mtendaji mkuu wa wakala wa ndege za serikali (TGFA) marehemu Kenan
Paul Mhaiki shughuli iliyofanyika nyumbani kwake Kunduchi Dar es Salaam Januari
2 2017.Mwili wa marehemu umesafirishwa jana na kwenda Songea mjini Mkoani
Ruvuma kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo Januari 4 2017 kwenye makaburi
ya Matogoro.
|
|
Kiongozi wa Kambi ya
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiaga mwili wa marehemu Kenan Mhaiki Rubani
Mtendaji mstaafu wa wakala wa
ndege za serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi,
jijini Dar es Salaam Januari 2 2017. Mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda
Songea Mjini Mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika Januari 4,
Makaburi ya Matogoro. (IMEANDALIWA NA ROBERT OKANDA BLOGSPOT)
|
|
Watoto
wa marehemu Kenan Paul Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania
wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa baba yao wakati wa shughuli ya kuaga
mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam Januari 2 2017. Mwili wa
marehemu umesafirishwa leo kwenda Songea Mjini Mkoani Ruvuma kwa mazishi
yanayotayarajiwa kufanyika makaburi ya Matogoro mkoani humo Januari 4 2017.
|
Katibu
Mkuu Kiongozi wa zamani, Balozi Ombeni Sefue akitoa heshima za mwisho kwa
marehemu Kenani Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakati wa
shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam jana.
Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kwenda Mkoani Ruvuma kwa mazishi
yanayotayarajiwa kufanyika Januari 4 2017
Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) Raymond Musingi akitoa salamu za pole kwa
wafiwa.
Mkurugenzi Mkuu wa
Usafiri wa Anga (TCAA) Hanza Johari akitoa salamu za pole kwa wafiwa.
Waombolezaji wakimpa mkono wa pole Kaka mkubwa wa
Kenan,Bw. Oliver Mhaiki, (kushoto)
Kaka wa Marehemu
Oliver Peter Mhaiki akisoma wosia wa mwisho wa mdogoye Kenan.
No comments:
Post a Comment