Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwaongoza Viongozi mbali mbali katika kilele cha Bonanza la
mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na
kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi
mbali mbali Unguja na Pemba.
Wanakikundi
cha Mazizini Beach Exercise Group ni miongoni mwa Vikundi mbali mbali
vya vilivyoshiriki katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo
yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa
Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja
na Pemba,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani).
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wanamichezo wa Vikundi mbali mbali wakati alipokuwa
akipokea maandamano ya vikundi hivyo katika Kilele cha Bonanza la
mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na
kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.
Wanamichezo
wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Amaani Studium Mjini Unguja leo
mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Kilele cha
Bonanza la mazoezi ya Viungo yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanjani hapo,ambapo kuna ujumbe usemamao “Afya ni
Uhai Popote Ulipo Fanya Mazoezi”.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Sei Ali Iddi akimkabidhi Cheti
cha Uchangiaji Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe,Idrisa Kitwana Mustafa
wakati wa Kilele cha Bonanza la Mazoezi ya Viungo lililoanzia Viwanja
vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,mgeni
rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein(hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akimkabidhi Cheti Nd,Charles Malima kutoka Tanzania Bara katika kundi la TEJA wakati
wa Kilele cha Bonanza la Mazoezi ya Viungo lililoanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi Cheti Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Bi.Sharifa Khamis (Sherry) wakati
wa Kilele cha Bonanza la Mazoezi ya Viungo lililoanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipokea cheti maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mchezo wa Mazoezi ya Viungo Zanzibar (ZABESA) Mohd Zidi wakati
wa Kilele cha Bonanza la Mazoezi ya Viungo lililoanzia Viwanja vya
Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]01/01/2017.
No comments:
Post a Comment