Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa
VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi,hoteli ya kisasa yenye hadhi
ya nyota 5 inayojengwa na kampunui ya ujenzi ya Bakhresa Group
of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,(kulia) Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies Bw.Said
Salim Bakhresa.[Picha na Ikulu.] 03/01/2017.
No comments:
Post a Comment