Pages

Tuesday, December 6, 2016

WHITEDENT 25 YEAR CAMPAIGN- REGIONAL WINNERS HANDOVER q1

q1
Guest of honor Michael Mwandezi (mkurugenzi wa halmshauri ya Kilimanjaro) akikata utepe na washindi wa Whitedent promosheni, 
Daniel Amiri Ramadhan kutoka Tanga car (no.9) na Julius Ferdinand Masawe kutoka Moshi car (no.8), katika halfa ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha.
q2
Guest of honor Michael Mwandezi (mkurugenzi wa halmshauri ya Kilimanjaro) akimkabidhi gari mshindi kutoka Tanga, Daniel Amiri Ramadhan (car no.9) katika halfa ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha.
q3
Mgeni rasmi SSP Audas Majaliwa akimkabidhi funguo za gari mmoja ya mshindi wa Whitedent promoshen, Pascal Luhendeka kutoka Geita katika halfa iliyofanyika Mwanza mjini ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha. 
q4
Mgeni rasmi SSP Audas Majaliwa akimkabidhi funguo za gari mmoja ya mshindi wa Whitedent promoshen, Yaziru Yassini kutoka Kagera katika halfa iliyofanyika Mwanza mjini ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha. 
q5
Mgeni rasmi SSP Audas Majaliwa akimkabidhi funguo za gari mmoja ya mshindi wa Whitedent promoshen, Emmanuel Robert kutoka Mwanza katika halfa iliyofanyika Mwanza mjini ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha

No comments:

Post a Comment