Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(aliyesimama)
akiongea jambo wakati wa mazungumzo kati ya Wizara yake na Serikali ya
Mauritius katika Sekta ya Sanaa na Utamaduni.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa,na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(wa pili kulia)
akizungumza na Ujumbe wa Serikali ya Mauritius pamoja na baadhi ya
viongozi wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam alipokutana na Waziri wa
Sanaa na Utamaduni Mhe. Santaram Baboo (wa kwanza kulia) kuhusu
ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika sekta ya Sanaa na
Utamaduni.Wa tatu kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante
Ole Gabriel.
Viongozi wa Wizara ya Habari,
Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika mazungumzo na Uongozi wa
Mauritius kuhusu kuimarisha sekta ya Sanaa na Utamaduni leo Jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa
Mauritius Mhe.Santaram Baboo (wa kwanza Kulia) akizumgumza na baadhi ya
viongozi wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakati wa
majidiliano ya kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika
Sekta ya Sanaa na Utamaduni yaliyofanyika leo Jijini Dar es
Salaam.Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Anastazia Wambura.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa,na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akipokea zawadi
kutoka kwa Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Mhe.Santaram Baboo
baada ya mazungumzo baina yao kuhusu ushirikiano katika Sekta ya Sanaa
na Utamaduni yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa,na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Wizara yake na viongozi wa
Serikali ya Mauritius baada ya mazungumzo kuhusu ushirikiano katika
Sekta ya Sanaa na Utamaduni yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment