Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akionyesha mkuki na ngao alivyopewa na wazee wa kimasai wa Arusha kabla
ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid
jijini Arusha Desemba 3, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho
Gambo(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wa Arusha wakati alipowasili kwenye uwanja wa
Sheikh Amri Abeid kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 3, 2016. Kushoto
kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment