Pages

Friday, December 30, 2016

Kampuni ya LG yazindua spika mpya isiyokuwa na waya

lg-speaker
Kampuni ya LG imeamua kuja na kifaa maalum cha kusaidia kutokuharibika kwa spika kwa kuingiliwa na  maji au vumbi.
Ni mmoja ya spika isiyo kuwa na waya na inaweza kupiga bila matatizo na kutoa sauti nzuri na murua.
Ni spika ya aina yake kwa mtumiaji wa radio kubwa na inataka kuisha chaji inajizima yenyewe na kujichaji kwa haraka bila kukatiza muziki wako unaoendelea kupiga kwenye radio  yako.
Kampuni ya LG imekuwa na spika ya kisasa kwa watumiaji wa radio kubwa ni spika isiyokuwa na waya na ni ya kisasa kwa watumiaji wa muziki kwenye kumbi za mbalimbali za sherehe na shughuli zingine zinazohitaji sauti kubwa za spika.

No comments:

Post a Comment