DK.SHEIN AFANYA MAHOJIANO NA MKURUGENZI MKUU WA ZBC LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.AliMohamed
Shein (kushoto) alipokuwa akifanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Bibi. Imane O.Duwe katika ukumbi wa
Ukulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 31 Disemba 2016
No comments:
Post a Comment