Rais wa
Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akisalimiana na mabalozi
wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika nchini mara tu baada ya
kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe
Magufuli akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa
Lungu kwa Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe kassim
Majaliwa baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akikagua
gwaride rasmi i mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John
Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wakisimama
kwa ajili ya nyimbo za Taifa na mizinga 11 mara baada ya kiongozi huyo
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe
Magufuli akiteta jambo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mh.
Edgar Changwa Lungu mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya
leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe
Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby
Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba
27, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli
akimtambulisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno
kwa viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama mara baada ya kiongozi
huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe
Magufuli amlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby
Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba
27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno akipokea
shada ya maua mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo
Novemba 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimzwadia ki9nyago cha Kimakonve
cha “Umoja” na picha ya kuchora ya tembo na Mlima Kilimanjaro na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya
kiongozi huyo kuwasili kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni
ya leo Novemba 27, 2016
………………………………………………………………………..
No comments:
Post a Comment