Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akifungua mkutano mkuu na Kongamano la
Wapimaji Ardhi linalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia leo Novemva
2-3, 2016.
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akionyeshwa moja ya vifaa vinavyotumika
katika upimaji wa Ardhi mapema leo katika Mkutano mkuu na Kongamano la
Wapimaji Ardhi unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akipewa maelezo jinsi mambo
yalivyobadirika katika mfumo wa Kidigitali.
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akiwa amebeba moja ya kifaa kinachotumika katika upimaji.
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akionyeshwa kifaa cha kisasa kinachotumika katika upimaji.
Wapimaji wa Ardhi wakiwa katika mkutano Mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi.
Wapimaji wa Ardhi wakiwa katika mkutano Mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi.
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akitoa cheti cha shukrani kwa makampuni
yaliweza kusaidia kufanikisha mkutano Mkuu na Kongamano la Wapimaji
Ardhi. Pembeni kushoto ni Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani, Bw. Justo
Lyamuya.
No comments:
Post a Comment