Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge
wa Kawe, Halima Mdee kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba
1, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe
kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 201
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe
kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 201
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mbozi Magharibi,
David Silinde (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Lymo
kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akizungumza
bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Singida Kaskazini ,
Lazaro Nyalandu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Naibu
Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja,
bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime,
Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 wakitimua mbio kutafuta ushindi
WANAUME
KM. 21
NA.
|
JINA KAMILI
|
UMRI
|
MUDA
|
TARAFA
|
KATA
|
BIBS NAMBA
|
1.
|
PAULO
ITAMBU
|
25
|
1:08:55
|
MUNGAA
|
MUNGAA
|
396
|
2.
|
SAMWEL
SHABANI
|
20
|
1:09:06
|
MUNGAA
|
MUNGAA
|
356
|
3.
|
JONAS
JOHN
|
22
|
1:09:25
|
MUNGAA
|
MUNGAA
|
366
|
4.
|
ELIBARIKI
SAIMON
|
29
|
1:10:57
|
IHANJA
|
ISEKE
|
338
|
5.
|
JAFARI
RAJABU
|
26
|
1:11:06
|
IHANJA
|
KITUNTU
|
369
|
6.
|
HAMISI
ATHUMANI
|
25
|
1:12:02
|
IHANJA
|
ISEKE
|
343
|
7.
|
SAMSON
LYIMO
|
23
|
1:12:37
|
MUNGAA
|
MAKIUNGU
|
357
|
8.
|
MUSA
JUMANNE
|
26
|
1:13:53
|
MUNGAA
|
MUNGAA
|
346
|
9.
|
JOHN
SIMBA
|
23
|
1:15:07
|
IHANJA
|
PUMA
|
340
|
10.
|
EMANUEL
NJOGHOMI
|
30
|
1:15:34
|
IHANJA
|
KITUNTU
|
339
|
11.
|
ABEDNEGO
WILSON
|
18
|
1:15:46
|
IHANJA
|
MUHINTIRI
|
345
|
12.
|
MORIS
JOSEPH
|
21
|
1:15:50
|
|
Mgeni
rasmi, Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna Mkapa, akiongea na wafanyakazi wa Bayport,
waandishi wa habari na walimu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Kibaha Children Village Center (KCVC),
wakati wakusherehekea miaka 10 ya Bayport ambayo ilifanyika katika kituo hicho juzi,
Kibaha mkoani Pwani. |
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Bayport, John Mbaga,
akiongea na wafanyakaziwa Bayport, waandishi wa habari na walimuwakituo cha
kuleleawatotoyatima cha Kibaha Children
Village Center (KCVC), wakati wakusherehekeamiaka 10 ya Bayport ambayoilifanyikakatikakituohichojuzi,
KibahamkoaniPwani. |
|
Baadhi ya wafanyakazi wa Bayport Tanzania
wakiwa valishafulanawatotoyatimawanaolelewakatikakituo cha kulelea Watoto Yatima
cha Kibaha Children Village Center,
wakati wafanyakazi hao walipokwenda kusherehekamiaka 10 ya kampuni hiyo |
|
Wafanyakazi wa Bayport
wakipiga picha ya pamoja kwenye bango lao |
|
Watoto wakibembea wakati wa kusherehekea miaka 10 ya
Bayport Tanzania |
|
Watoto wakiwa wanakula pamoja kusherehekea miaka 10
ya Bayport Tanzania |
|
Wafanyakazi
wa bayport wakiwa katika picha ya pamoja naviongozi, watoto
yatimanawatotowawafanyakaziwa Bayport Tanzania, wakati wa
kusherehekea miaka 10 ya Bayport ambayo ilifanyika katika
kituo cha kulelea watoto yatima cha Kibaha Children Village Center
(KCVC), wengine pichani (Kuliakwa Mama Mkapa) ni MkurugenziMtendajiwa
Bayport John Mbagana Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano
NgulaCheyo.
|
NEWS AGENCY
Rwandan President
Paul Kagame posted a photo on Facebook driving a black Range Rover with the
king on the front seat.
The two were later seen
chatting on arrival at the airport after fruitful talks during Mohammed VI's
visit.
Guards were seen waiting for
the King to alight from the Range Rover.
Kenyans took
to Kagame's page and posted messages of admiration for his humble gesture.
"Someone give us Kagame
for just 2 years to end this corruption in Kenya," Silas Kiplagat posted.
Another Kagame admirer Musa
Haji Goh posted: "This jacaranda man is one rare breed. .. I admire him
and he earned my respect. .there are few like him but someone to compare him in
Africa leadership .. I haven't seen or heard... I salute you Mr
President."
"Thanks Mr Kagame
(president of Rwanda). When you finish with Rwanda come back home and help us
to solve the mess on our land - corruption, that is giving our president (Uhuru
Kenyatta) sleepless nights. No one cares about labourers, all big fish go
freely around and no one is doing any thing. Keep working hard for the best and
better lives of Rwanda citizens," posted Anthony Gatimu.
Despite the admiration, Kagame
has been accused of clinging to power and running a dictatorial government
since taking over after the 1994 genocide.
The King
visited Rwanda last week, marking the first tour of the monarch to East African
states since coronation in 1999.
He was received by president
Kagame and other senior government officials at the airport.
The three-day state visit to Rwanda
came within the strategy designed by the King.
It was aimed at diversifying
its partnerships and strengthening its ties with important players in Africa.
During his visit the king was
accompanied by Crown Prince Moulay Ismail.
Mohammed VI visit comes months
after Morocco announced its intention to return to African Union.
The King was traveling to
Tanzania and Ethiopia.
|
Mkenya
Olive Kiarie, ameibuka mshindi wa kwanza katika shindano la kujifunza
maisha, al aarufu kama Maisha Plus, safari hii shindano
hilolilikutanisha washiriki kutoka nchi tano za Afrika Mashariki,
Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burudni isipokuwa Sudani Kusini.
Katika shindano hilo lililodumukwa zaidi yasiku 50, washiriki waliishi
kwenye pori, liliopewa kijiji na kuishi maisha halisi ya kiafrika kwa
kipindi chote hicho, huku wakijifunza tamaduni, kazi za mikono
kubadilishana ujuzi lakini pia kujifunza namna ya kuishi kwa kufuata
mazingira yanayokuzunguka. Katika shindano hilo lililokuwa la mtoano
lilianza na washiriki 30 na wakabaki 16 ambaondio waliingia fainali na
hatimaye Olive Kiarie, akaibuka mshini wa kwanza na kujinyakulia
shilingi milioni 30 za Kitanzania. Pichani Olive (katikati),
akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamaniya kiasi hicho cha fedha kutoka
kwa mwakilishi wa kituo cha runinga cha Azam, (kushoto) na babu wa
kijiji |
“Kwanza napenda kumshukuru Mungu.
Nimetoka Kenya kuja kutafuta hii pesa na nimeipata, hivyo namshukuru
Mungu. Nawashukuru mabeste wangu wote, na wote walionipa sapoti. Asante
pia Babu.” Alisema Olive huku akitoka machozi baada ya kutangazwa
mshindi.
Hii ni mara ya kwanza kwa taji hilo
kwenda nje ya Tanzania ikiwa ni msimu wa tano toka mashindano haya
yaanze mwaka 2009. Olive anakua msichana wa pili kujishindia taji hilo
baada ya Bernick Kimiro aliyeshinda mwaka 2012.
Washiriki Aloyce Sambuta, Irene
Ishengoma, Alex Essau, Ngenda Pilly, Nibigira Baswari, Grace Pemba,
Denaice Machocho, Umubyeyi Solange, Assimwe Marvin, Salmin Omary, Rukia
Athuman, Mike Curtywer, Yasinta Mrisho, Karekezi Jean na Namita Cherrie
walifanikiwa kuingia fainali ambazo zilirushwa jana usiku na kituo cha
televisheni cha Azam Two.
Washiriki
walioingia Top 5 ya Maisha Plus kutoka kushoto: Aloyce Sambuta, Alex
Essau, Olive Kiarie, Irene Ishengoma na Ngenda Pilly.[/caption]
Katika hatua nyingine washiriki wanne walipewa tuzo. Aloyce Sambuta
alipata tuzo ya Rais bora na kupewa jumla ya Tshs.Laki nne, Ngenda Pili
alipata tuzo ya mshiriki mwenye heshima kubwa, Mike Cutywer alipaza tuzo
ya mshiriki mdogo wa kiume wakati Namita Cherrie alipata tuzo ya
mshiriki mdogo wa kike.
Top 3 ya Maisha Plus Aloyce Sambuta, Olive Kiarie na Irene Ishongoma[/caption]
Wasanii Ommy Dimpoz na Joh Makini walitoa burudani wakati wa fainali hizo.
No comments:
Post a Comment