Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji
wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa Development Bank)
Bi Vivienne Yeda mara baada ya kusaini mkataba wa mkopo wa Dola za
Kimarekani Milioni 30 sawa na shilingi Bilioni 65 kwa ajili ya
kuendeleza ujenzi wa majengo ya 711 Kawe jijini Dar es salaam, Hafla ya
kutiliana saini mkataba huo imefanyika katika makao makuu ya shirika
hilo Upanga jijini Dar es salaam kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma
za Sheria NHC Bw.Martin Mdoe.(PICHA NA JOHN BUKUKU WA FULLSHANGWE-DAR ES
SALAAM)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akibadilishana nyaraka na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East
Africa Development Bank) Bi. Vivienne Yeda mara baada ya kusaini mkataba
wa mkopo wa Dola za Kimarekani Milioni 30 sawa na shilingi Bilioni 65
kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo ya 711 Kawe jijini Dar es
salaam kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria NHC Bw.Martin
Mdoe.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa Development Bank) Bi
Vivienne Yeda wakisaini mkataba wa mkopo wa Dola za Kimarekani Milioni
30 sawa na shilingi Bilioni 65 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo
ya 711 Kawe jijini Dar es salaam kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma
za Sheria NHC Bw.Martin Mdoe.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza wakati wa hafla ya
kusaini mkataba na Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa
Development Bank) wenye mkopo wa thamani ya Dola za Kimarekani Milioni
30 sawa na shilingi bilioni 65 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo
ya 711 Kawe jijini Dar es salaam, Katikati ni Michael Mwalukasa
Mkurugenzi wa Nyumba Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na
kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria NHC Bw.Martin Mdoe.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza wakati wa hafla ya
kusaini mkataba na Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa
Development Bank) wenye mkopo wa thamani ya Dola za Kimarekani Milioni
30 sawa na shilingi Bilioni 65 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo
ya mradi wa 711 Kawe jijini Dar es salaam, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji
wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki East Africa Development Bank
Bi. Vivienne Yeda na kushoto ni Michael Mwalukasa Mkurugenzi wa Nyumba
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akibadiliana jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki East
Africa Development Bank Bi. Vivienne Yeda na Bw. David Shambwe
Mkurugenzi wa Hazina na Uendelezaji Biashara.
Maafisa wa Shirika la Nyumba la
Taifa NHC Kutoka kulia ni Tuntufye Mwambusi Meneja Masoko, Chediel
Msuya, Hindu Said Afisa Hazina na Richard Ndeona Meneja wa Hazina.
Baadhi ya Maofisa kutoka Benki ya East Africa Development Bank (EFDB) wakiwa katika hafla hiyo.
Wakurugenzi wa Vitengo Shirika la Nyumba la Taifa NHC wakiwa katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment