Naibu waziri wa Afya Maendeleo ya jamii wazee jinsia na Watoto Hamis Kigwangala akiwa anazungumza na waandishi wa habari wanawake kuhusu tatizo la Saratani ya shingo ya Kizazi, katika Ukumbi wa Olasiti Lodge Jijini Arusha.,aliyepo kushoto kwake ni Dkt.Mathew Kasumuni kutoka hospital ya Mount Meru iliyopo jijini Arusha
Waandishi
wa habari wanawake wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu waziri wa
Afya Maendeleo ya jamii wazee jinsia na Watoto Hamis Kigwangala,Aliyepo
kushoto kwake ni Dkt.Mwanahamis Ghembe kutoka Mountmeru Hospital
Waandishi wa
habari wanawake wakifuatilia kwa karibu baadhi ya majibu ya yaliyokuwa
yakijibiwa na madaktari walioendesha mafunzo,mafunzo hayo yalikwenda
sambaba na upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi.
No comments:
Post a Comment