Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk.
Augustine Mahiga akimtambulisha Balozi Innocent Shiyo kwa Rais wa
Shelisheli, Alix Michel
Rais wa Shelisheli, Alix Michel akiwa kwenye kikao
na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Baloz Dk.
Augustine Mahiga nchini Shelisheli.
Waangalizi wa uchaguzi wa wabunge wa Shelisheli katika picha ya
pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Dk. Augustine Mahiga na Balozi Innocent Shiyo. (Picha kwa hisani
ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki).
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tanzania
ilikabidhiwa nafasi ya uenyekiti wa kuongoza Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama
ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC Organ), katika Mkutano wa 36
wa Wakuu wa Nchi na Serikali uliofanyika huko Mbabane, Swaziland tarehe 29 – 31
Agosti, 2016.
Mara baada ya kukamilika kwa Mkutano huo, Mheshimiwa Dkt. Augustine P. Mahiga (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alielekea Jamhuri ya Shelisheli kwa lengo la kumwakilisha Mheshimiwa Dkt. John P. Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuongoza ujumbe wa Waangalizi wa SADC katika Uchaguzi wa Shelisheli utaofanyika tarehe 8 - 10 Septemba, 2016.

Wajibu huu
wa Tanzania katika kuongoza misheni hiyo ya waangalizi wa uchaguzi imetokana na
misingi na muongozo wa chaguzi za kidemokrasia katika Kanda ya SADC. Akiwa
nchini Shelisheli, Mheshiwa Mahiga (Mb), alizindua rasmi misheni hiyo tarehe 2 Septemba, 2016 kwa
niaba ya Mheshimiwa Rais Magufuli. Misheni hiyo ya waangalizi itakua na
waangalizi kutoka nchi za SADC .
Wakati
akiwa nchIni Shelisheli, Mheshimiwa Waziri Mahiga alipata fursa ya kukutana na
kufanya mazungumzo na Mhe. James Alix Michel Rais wa Sheliseli .
Pia Mheshimia Waziri Mahiga aliweza kufanya mazungumzo na Mhe. Joel Morgan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Seychels na kukutana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Seychels.
Pia Mheshimia Waziri Mahiga aliweza kufanya mazungumzo na Mhe. Joel Morgan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Seychels na kukutana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Seychels.
Imetolewa na :
BALOZI INNOCENT E. SHIYO
Viongozi
mbalimbali wakiwa wamejipanga kumsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara katika
uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib
alipowasili kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia
mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Uchumi na Ushiriuka.Mhe Haroun Ali
Suleiman kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini
Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikaribishwa na
Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kuhutubianmkutano wa hadhara
katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi
Agosti 3, 2016
RAIS DKT MAGUFULI ALIPOHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA DEMOKRASIA ZANZIBAR JUMAMOSI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Demokrasia mjini Unguja Jumamosi Agosti 3, 2016
WAZIRI MKUU WA UINGEREZA THERESA MAY AKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA VIONGOZI WA DUNIA
Waziri Mkuu wa Uingereza, Bi.
Theresa May, amekutana kwa mara ya kwanza na viongozi wa mataifa
mbalimbali katika mkutano wa G20, tangu achaguliwe kutwaa wadhifa huo
baada ya Uingereza kupiga kura ya kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya.
Hata hivyo mkutano huo uliibua hisia
za machungu kwa Uingereza pale rais, Barack Obama, aliposema
Uingereza haitapewa kipaumbele cha kwanza katika makubaliano ya
kibiashara na Marekani, kufuatia kujitoa Umoja wa Ulaya.
Waziri Mkuu Teresa May akisalimiana na rais Vladimir Putin wa Urusi
Waziri Mkuu Teresa May akisalimiana na rais Xi Jinping wa China
Waziri Mkuu Teresa May pia alikutana na kufanya mazungumzo na kiongozi wa Saudi Arabia
No comments:
Post a Comment