Muongoza mdahalo, Lester Holt |
MASAUNI AWAONGOZA WAJUMBE WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI KUTOA MISAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA MJINI GEITA
NSSF YANOGESHA MBIO ZA ROCKY CITY MARATHON
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza John Mongella (katikati) akiwa na mwanariadha wa
zamani, Juma Ikangaa (kulia), na washiriki wengine wa mbio za Rock City
Marathon zilizofanyika jijini Mwanza juzi na kudhaminiwa na Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
MKURUGENZI WA ILEJE HAJI MNASI ATAKA MWALIMU NYERERE AENZIWE KWA VITENDO
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ileje Haji Mnasi akiwa
katika makumbusho ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
alipotembele hivi karibu na kujifunza mambo mbalimbali aliyowahi
kuyafanya hayati baba wa taifa kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nchi
nzima
Mkurugenzi
mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ileje Haji Mnasi akiwa katika
kaburi la marehem Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Na fredy mgunda,musoma. VIONGOZI wa vyama vya Siasa wametakiwa kuiga kwa vitendo uzalendo na moyo wa kujitoa aliokuwa nao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake ili kuliwezesha Taifa kupiga hatua kimaendeleo.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ileje Bw. Haji Mnasi ambaye kitaaluma ni mwalimu mara baada kutembelea Kaburi na Makumbusho ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo wilayani Butiama.
“mimi kitaaluma ni mwalimu hivyo namuezi mwalimu kwa vitendo hata nilipokuwa afisa elimu iringa nilikuwa naingia darasani kufundi na sasa nitahakikisha nazilinda mali za taifa,nasisitiza uwajibika,uzalendo,uandilifu na nidhamu katika kulitumikia taifa la Tanzania kama unakumbuka mwalimu alikuwa anapenda kutumia neno (it can be done play your part) kila mtu atimizi majukumu yake” Amesema Mnasi.
MBONI AWAPIGA MSASA VIONGOZI WA UVCCM MKOA WA ARUSHA
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mboni Mhita akiwafunda wajumbe wa baraza kuu la UVCCM mkoa wa Arusha
Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka akiwa anaongea na wajumbe waliouthuria mkutano huo
Mjumbe wa Kamati ya utelelezaji Taifa kutoka Mkoa wa Lindi
Amir Mkalipa akiwaasa wajumbe waliouthuria katika mkutano huo
Amir Mkalipa akiwaasa wajumbe waliouthuria katika mkutano huo
JUMALA YA WATOTO 4000 WANAZALIWA NA TATIZO LA KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI KILA MWAKA HAPA NCHINI TANZANIA
Kaimu mkurugenzi Wa taasisi ya upasuaji mifupa na mishipa
ya fahamu Dr.Othman Kiloloma akimuonyesha mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro sehemu ambayo mtoto amefanyiwa upasuaji wa kichwa |
Mkuu wa wilaya ya Arusha akiwasili katika hospitali ya Mount Meru
iliopo jijini hapa Tayari kwakwenda kuangalia watoto waliofanyiwa
upasuaji wa kichwa kikubwa
Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini akimkabidhi pampas moja ya mama mzazi wa
mtoto ambaye amefanyiwa upasuaji wa kichwa kikubwa ikiwa ni moja ya
zawadi walizopatiwa na GSM Foundation
No comments:
Post a Comment