Pages

Tuesday, September 27, 2016

Invitation for Tenders: SUPPLY FOR PROMOTIONAL MATERIALS







ZANZIBAR SOCIAL SECURITY FUND

Tender No. ZSSF/2015/2016/G/02

For
SUPPLY FOR PROMOTIONAL MATERIALS

              Invitation for Tenders

             Date: 28/09/2016
1.      Zanzibar Social Security Fund has set aside funds for the operation during the financial year 2016/2017. It is intended that part of the proceeds of the fund will be used to cover eligible payments under the contract for the supply of promotional materials

2.      Zanzibar Social Security Fund now invites sealed tenders from eligible ‘National’ Suppliers for the supply of the promotional materials. Tendering process will contain four (4) lots and the suppliers may opt to quote for one lot or more than one lots .The description of lots are as follows:-


Lot No.
Description of items
Unit
Quantity

Round neck T shirts and caps ( For Mapinduzi day)
Piece
500

Polo T shirts  (For annual conference)
Piece
200
1.       
Polo T shirts ( Staff uniform )
Piece
200

Polo T –shirts
Piece
200

Round neck T –shirts
Piece
200

Pocket Books
Piece
100
2.       
Diaries size A5(note books)
Piece
100

Diaries size A4
Piece
100

Brochures
Piece
10,000
3.       
Wall calendars
Piece
500

Conference  Bags
Piece
300
4.       
Trophy
Piece
06

Rolling banners
Piece
16

Gift  Basket.
Piece
500
  
  1. Tendering will be conducted through the National competitive procedures specified in the Public Procurement (Goods, Works and Disposal of Public Assets by Tender) Regulations, 2006 – Government Notice No. 62 and is open to all Tenderers as defined in the Regulations.
4.      Interested eligible Tenderers may obtain further information from and inspect the Tendering Documents at the office of the Secretary, ZSSF Tender Board P.O.BOX 2716 Kilimani Mnara wa Mbao from 2.30 am to 15.30 hours on Mondays to Fridays inclusive except on public holidays.

5.      A complete set of Tendering Document(s) in English  and additional sets may be purchased by interested Tenderers on the submission of a written application to the address given under paragraph 5 above and upon payment of a non-refundable fee of 50,000/= Tanzania shillings. Payment should be by banker’s cheque or cash paid to the following account detail of Zanzibar Social Security Fund:

BENEFICIARY: ZANZIBAR SOCIAL SECURITY FUND
BANK NAME: THE PEOPLES BANK OF ZANZIBAR
ACCOUNT NUMBER: 021104000884
BRANCH: FORODHANI BRANCH
SWIFT CODE: PBZATZTZ

6.      All Tenders must be accompanied by a Tender security in the form of bankers cheque or bank guarantee in the amount of Tanzania shillings five Hundred Thousands    (TZS 500,000/=) or freely convertible currencies in case of foreign Tenderers.

  1. All tenders in one original plus two copies, properly filled in, and enclosed in plain envelopes must be delivered to the address below at or before 11.00 am on 27th October, 2016. The outer cover of the tender shall be marked “TENDER FOR SUPPLY OF PROMOTIONAL MATERIALS”. Tenders will be opened promptly thereafter in public and in the presence of Tenderers’ representatives who choose to attend in the opening at the Conference Room Zanzibar Social Security Fund, Kilimani Mnara wa Mbao.

8.      Late Tenders, Portion of Tenders, Electronic Tenders, Tenders not received, Tenders not opened and not read out in public at the tender opening ceremony shall not be accepted for evaluation irrespective of the circumstances.

MANAGING DIRECTOR
ZANZIBAR SOCIAL SECURITY FUND,
Tel: +255 – 24 – 2230242
Fax: +255 – 24 – 2232820
P.O. BOX 2716
Zanzibar
Email: info@zssf.org

Physical address:
Kilimani Mnara wa Mbao,
Plot. No: 51
Zanzibar - TANZANIA


RAIS wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, Dkt. John PombeMagufuli, “ametembea’ kwenye maneno yake, aliyoyatoa mapema wakati akizindua Bunge la Tanzania kwamba ifikapo mwisho wa Septemba 2016, Serikali itaingiza nchini ndege mbilimpya, na leo ndege ya ya pili aina ya Bombadier Q400 imewasili nchini leo mchanaikitokea nchini Canada ilikoundwa.
Ndege ya kwanza iliwasili mapema wiki iliyopita na taarifa zinasema Jumatano Septemba 28, 2016, Rais Magufuli atazindua ndege hizo ili zianze kutoa huduma.
Pichani ndege hizo zikiwa zimeegeshwa kwenye hanga la ndege za Kjeshi (Air Wings) Ukonga jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)




Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikipata Saluti ya maji (Water Canon Salutation) mara tu baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.

 Ndege hiyo ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, Septemba 27, 2016

Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard  Chamriho  akisalimiana na rubani  John Kuipers aliyeeendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) na kuiwasilisha salama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.



Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard  Chamriho na viongozi wengine wakielekea kwenye Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.

 Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard  Chamriho, akiikagua ndege hiyo kwa ndani


 Viongozi wakuu wa kampuni ya Silafrica Limited,Mkurugenzi Mtendaji  Akshay Shah pamoja na Alpesh Patel (kulia) wakikabidhi mfano wa funguo za magari yaliyotolewa zawadi kwa wateja na wauzaji wa bidhaa za SIMTANK katika hafla iliyofanyika serena hotel mwishoni mwa wiki,jijini Dar.
 Wasanii wa THT wa kitumbuiza katika hafla ya Simtank Dealers Night Appreciation iliyofanyika katika hoteli ya serena mwishoni mwa wiki.
Mwanzilishi wa Silafrica Limited na maria Group Mzee GP Shah   akikabidhi mfano wa funguo wa gari kwa mmoja wa wateja wa Simtank bw. Ravi Chantarana kutoka Ravi Steel katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki.

Silafrica Tanzania Ltd organized a “Simtank dealer appreciation night” at Sarena hotel for All Tanzania SIMTANK dealers.

The Simtank Dealer Appreciation night, attended by more than 150 dealers, from every province, witnessed the awards of Certificates of appreciation and Presents for the best performing Simtank dealers countrywide. Mr. Alpesh patel, Country head of Silafrica said that “The SIMTANK sell and Win contest was carried out over a period of 3 months starting from 1st June 2016 and ending on 31st Aug 2016 which hastotal seven categories/prizes.

Mr, Alpesh Patel, stated that, “This is an important time to appreciate our dealers who act as a link between our products and the society. They have worked so hard with unflinching dedication, commitment and effort to achieve our collective goals. Our dealers deserve to experience pride in accomplishment. 
We hope that Simtank, in a way, has definitely made a positive impact on the lives of those who deal and use it in our society.”Our dealers are our most promising asset. Dealer appreciation Meet, in an effort to strengthen its bonds with its business partners and put on record its strong appreciation for the efforts made by its dealers in jointly serving the consumers in Tanzania with your continued support.”

“What sets Silafrica apart is that partners with our customers by understanding their needs and applying innovation in product design, investing in manufacturing technology and leveraging operations efficiency to ultimately create world class plastic & packaging solutions …said Akshay Shah, The Managing Director. And also added …Simtank Brand and its parent company, Silafrica has experienced significant growth throughout Tanzania under the stewardship of Mr Alpesh Patel.

“SIMTANK “ is the market leader in providing clean, safe, and durable water storage units in Tanzania and Kenya. SIMTANK has been launched in Tanzania since past 23 years and we are proud and happy to say that we are holding the leading position in the market as the most trusted brand.. Trusted by millions of Tanzanians and now Kenyans also. SImtankis no 1in water storage category due to high quality ofmaterial , virgin material, food grade, UV stabilized material and making sure no compromise in the process. This ensures safety and durability.

Mr. Alpesh has took this opportunity to declare the winners of the promotional scheme launchedby the company. The dealers were evaluated on certain criteria likeaccomplishment of selling targets, timely payments, loyalty. We are proud to announce a total of 35 dealers winning prizes from SILAFRICA. 



Mr. Alpesh stand humbled and proud to announce The WINNER FOR THE FIRST AWARD CATEGORY for CAR…winners are ……………….


1) FMJ hardware –mama Fatina Said and 2) KAMAMA co Ltd- Mr. Jurijs
The second category winners who are going to take home the SUZUKI Carry is….Mr. Hiren Ravi chandarana from Ravi Steel.
Third category winner – All the way from Moshi – FIVE STAR HARDWARE – Mr. Frank who is taking over TOYO delivery pick up.

Overall below the winners in each categories..

The awards ceremony was followed by dance ,dinner ,drinks and lot more entertainments. This event wasconcluded with a note of thanks from the SIMTANK Team. Mr. Alpesh closed event by saying … Allsimtank dealers are very important to us. Thank you for the trust you have placed in us. He has congratulate all winners on be half of Simtank Team &building strong relationships with its valuable business partners that’s motto.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Wadau wa Usalama Barabarani pamoja na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Kulia ni Katibu wa Baraza hilo ambaye pia Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Mafunzo na Uenezi wa Baraza hilo, Henry Bantu. Mkutano huo unafanyika leo katika Ukumbi wa wa Mikutano wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Geita
Katibu wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga akitoa taarifa

Sehemu ya Wadau na Wajumbe wa Baraza la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote chini wakimsikiliza Mhandisi Masauni


Kikundi cha Utamaduni kutoka Tanzania kikitoa burudani kwa wageni waalikwa katika uzinduzi maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 katika Ukumbi wa Hayatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam.




NA GENOFEVA MATEMU – WHUSM
Filamu na tamthilia kutoka China zinazoingia nchini zimetakiwa kufuata na kuzingatia sheria za nchi ili ziweze kuendeleza utamaduni na uhusiano mzuri wa muda mrefu uliopo baina ya Tanzania na China.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura wakati wa sherehe za uzinduzi wa maonesho ya Filamu na Tamthilia za China Barani Afrika leo katika Ukumbi wa Hyatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam.
“Watanzania wanafurahi sana na kupenda tamthilia na filamu kutoka China haswa pale wanaposikia mtanzania mwenzao ameigiza au amehusika katika kutafsiri filamu hizo” alisema Mhe. Anastazia.
Akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi Mhe. Anastazia amewashukuru Startimes kwa kuandaa mashindano ambayo wameyafanya hivi karibuni ya uigizaji wa sauti kuibua vipaji na kutoa fursa kwa watanzania kumi kwenda kuajiriwa nchini China katika makao makuu ya startimes Beijing.
Aidha Mhe. Anastazia amesema kuwa watanzania wamepata fursa ya kuangalia tamthilia na filamu za China kupitia king’amuzi cha startimes, chombo ambacho kimeweza kuenea kwa asilimia 80 kwa nchi za kusini mwa jangwa la sahara zilizotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.
Mhe. Anastazia amesema kuwa tangu mwaka 2010 serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano ilipoanzisha mfumo wa kidigitali makampuni mengi yamekua yakitumia mfumo huo kutoa huduma za kihabari nchini ambapo Startimes ni moja ya kampuni hizo ambayo imeweza kutoa masafa ya kidigitali katika kampuni binafsi na makampuni ya umma wakiwa na dira ya kutaka kuzifikia kaya ngingi iwezekanavyo ikiwezekana kaya zote nchini.
Naye Kaimu Balozi wa China nchini Tanzania Bw. GOU Haodong amesema kuwa filamu na tamthilia hutoa ajira kwa jamii kwani ni shughuli ambayo hutumia sanaa kufikisha ujumbe hivyo ni vyema waigizaji kutoka China pamoja na Tanzania kuheshimu kazi hiyo na kuwa kioo katika jamii wanayoishi.
Mwaka huu ni mwaka wa tatu tangu kuanzishwa kwa maonyesho ya filamu na tamthilia za kichina Barani Afrika. Maonyesho haya yanatambulisha kwa watazamaji wa Afrika tamthilia na filamu nyingi za kichina ambazo zimetafsiriwa kwa lugha za kiafrika na kusababisha kupendwa sana kwa tamthilia hizo barani Afrika.


Washindi wa shindano la kuweka sauti katika tamthilia za kichina wakishangilia ushindi wao mara baada ya kukabidhiwa vikombe na zawadi mara baada ya  uzinduzi  wa maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 Jijini Dar es Salaam.


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura akizungumza na washindi wa shindano la kuweka sauti katika tamthilia za kichina mara baada ya kuwakabidhi vikombe na kuzindua maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 katika Ukumbi wa Hayatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt Ayob Riyoba na Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka Jamhuri ya watu wa China Bw.Gao Wei wakitazama kipeperushi chenye maudhui ya uzinduzi huo.


Kaimu Balozi wa China nchini Tanzania Bw. Gou Haodong akizungumza na wadau wa Filamu na Thamthilia kutoka Tanzania na China wakati wa uzinduzi wa maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 Jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt Ayob Riyoba akizungumza na wadau wa Filamu na Thamthilia kutoka Tanzania na China wakati wa uzinduzi wa maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 katika Ukumbi wa Hayatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura akimpongeza mshindi wa kwanza wa shindano la kuweka sauti katika tamthilia za kichina Bibi. Hilda Malecela mara baada ya uzinduzi wa  wa maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika Septemba 27,2016 katika Ukumbi wa Hayatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura akimkabidhi kikombe  mshindi wa tatu wa shindano la kuweka sauti katika tamthilia za kichina Bw Saiq Kututwa mara baada ya uzinduzi  wa maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 katika Ukumbi wa Hayatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam.


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura akizungumza na washindi wa shindano la kuweka sauti katika tamthilia za kichina mara baada ya kuwakabidhi vikombe na kuzindua maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 katika Ukumbi wa Hayatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam.



Baadhi ya wadau wa Tamthilia na Filamu kutoka Tanzania na China wakifuatilia uzinduzi  wa maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 Jijini Dar es Salaam.



Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa shindano la kuweka sauti katika Tamthilia za kichina mara baada ya uzinduzi  wa maonesho ya Tamthilia na Filamu za Beijing barani Afrika  Septemba 27,2016 Jijini Dar es Salaam.

TAMWA YATAKA VYOMBO VYA HABARI NCHINI KUTOA FURSA YA WANAWAKE KUSIKIKA


Waandishi wa Habari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu, wakiwa kwenye semina iliyofanyika Jumamosi wiki iliyopita Septemba 23, 2016 Jijini Dar es salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, ambapo pamoja na mambo mengine iliangazia kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuandika habari kuhusu mafanikio na changamo za wanawake ili kufanya jamii iwatambue na hivyo kuwafunguliwa fursa mpya ikiwemo kujitokeza kwenye masuala ya uongozi. (Picha na BMG)


Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, Alakok Mayombo, akifungua semina hiyo.
Kushoto ni mkufunzi katika semina hiyo, Valerie Msoka ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya InterNews tawi la Tanzania. Pia ni Mkurugenzi mstaafu wa TAMWA.

Godfrida Jola ambaye ni Afisa Miradi TAMWA, akizungumza jambo kwenye semina hiyo
                                                                     Mshiriki akichangia jambo 
                                                                          Washiriki wa semina hiyo

No comments:

Post a Comment