Pages

Tuesday, August 2, 2016

MAREKANI YAIPIGA JEKI TANZANIA SHILINGI BILIONI 895

Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Maendeleo la Marekani, USAID, Bi. Sharon Cromer, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile, wakitia saini Hati ya makubaliano ya msaada wa Zaidi ya shilingi Bilioni 895, kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2020, Jijini Dar es salaam 
Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Maendeleo la Marekani, USAID, Bi. Sharon Cromer (Kushoto), na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile, wakibadilishana Hati za makubaliano ya msaada wa Zaidi ya shilingi Bilioni 895, kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2020, Jijini Dar es salaam
Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Maendeleo la Marekani, USAID, Bi. Sharon Cromer (Kushoto), na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile, wakiwa wameshika Hati za makubaliano baada ya kukamilika kwa tukio la utiwaji saini makubaliano ya msaada wa Zaidi ya shilingi Bilioni 895, kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2020, Jijini Dar es salaam
Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mamelta Mutagwaba, wakiteta jambo na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Maendeleo la Marekani, USAID, Bi. Sharon Cromer (Katikati), baada ya kukamilika kwa tukio la utiwaji saini makubaliano ya msaada wa zaidi ya shilingi Bilioni 895, kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2020, Jijini Dar es salaam.
 

WANAWAKE WALIOONDOLEWA KIDOLE TUMBO WANAUWEZO MKUWA WA KUTUNGA UJAUZITO

 

WAUMINI WA KKKT MTAA WA KULASI WILAYANI KOROGWE WAJENGEWA KANISA JIPYA.

Muonekano wa Jengo la Kanisa lililokuwa likitumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe .
Muonekano wa Jengo jipya la Kanisa linalotumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe .
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akikata utepe kufungua rasmi jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe wakiandamana wakati wa sherehe ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa lililojengwa na wazawa wa kijiji hicho waishio maeneo mbalimbali nchini.

EDIN DZEKO NA MOHAMED SALAH WAIZAMISHA LIVERPOOL

DONALD TRUMP AZIDI KUCHAFUA MAMBO KWA KUMUITA HILLARY CLINTON SHETANI

SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA(TANAPA) LAKABIDHI JENGO LA BWALO LA CHAKULA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MWIKA.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakitia saini hati ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi,Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 186,494,890 zimetumika.
Baadhi ya Wanafunzi katika shule ya sekondari ya Mwika wakiwa katika hafla fupi ya makabidhiano ya jengo la Bwalo kwa ajili ya Chakula.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi hati ,Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq baada ya saini hati ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi,Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 186,494,890 zimetumika.

SAFARI YA MWISHO YA MZEE JOSEPH SENGA

Mke wa marehemu Winfrida Senga akiweka shada la maua katika kaburi la mumewe, marehemu Joseph Senga
Mtoto wa marehemu, Joel Senga akiweka shada la maua.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Free Media, Neville Meena akiweka shada la maua.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima marehemu Joseph Senga wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba, Mwanza.

NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS TAMISEMI AZINDUA KISIMA KILICHOCHIMBWA NA TAASISI YA KIDINI JIJINI ARUSHA




Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo akizungumza kwenye mkutano wahadhara kwenye soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha .
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo akizindua kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwaajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha .
Wananchi wakifurahia hotuba ya Naibu Waziri Jaffo ambaye alitumia mkutano huo kumwagiza Meneja wa Tanesco kuwaunganishia umeme mapema inavyowezekana.
Wananchi wakifurahia hotuba ya Naibu Waziri Jaffo ambaye alitumia mkutano huo kumwagiza Meneja wa Tanesco kuwaunganishia umeme mapema inavyowezekana.
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro(kushoto) akimweleza jambo Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo eneo la Olmoti kilipo kisima cha maji kinachowahudumia wananchi wa Kata ya Olmoti na Olasiti pia maji hayo yatatumika kwenye mahakama ya kimataifa ya MICT,kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira,Mhandisi Ruth Koya,Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia na Mkuu wa wilaya ya Arusha,Mrisho Gambo(katikati).

No comments:

Post a Comment