Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya Wafanyakazi katika kilele cha Maadhimisho ya
Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika
Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
TUCTA wakati wakiimba wimbo wa Mshikamano Daima katika kilele cha
Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
kombe la ushindi wa jumla kwa Rais wa TUCTA Gratian Mukoba katika
kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Cheti cha Mfanyakazi bora kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Ndugu Peter
Chisunga katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya
Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
namna ya uokozi katika majanga mabalimbali yanayotokea Migodini nje ya
uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiifurahi
picha yake ya kuchora alipokabidhiwa wakati anakagua mabanda ya Maonesho
katika katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi
Duniania zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo kutoka kwenye banda la mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi
ya jamii SSRA mjini Dodoma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo kutoka kwenye banda la Wakala wa Afya na Usalama mahala pa kazi
OSHA mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi wa Tanzania
TUCTA Ndugu Nicholas Mgaya mara baada ya kuwasili katika viwanja vya
Jamhuri Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa TUCTA Gratian Mukoba wakati alipowasili katika
katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wazee wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kuhutubia katika kilele cha
Maadhimisho hayo ya siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa
Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono kuagana na mamia ya wafanyakazi katika uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma.
Sehemu
ndogo ikionesha wafanyakazi waliojitokeza katika Uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma katika kilele cha sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAMUAGA KATIBU MKUU DKT. MOHAMED JIDAWI NA KUMKARIBISHA KATIBU MPYA DKT. JUMA MALIK AKILI.
Waziri
wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na wafanyakazi katika
hafla ya kuamuaga Katibu Mkuu aliemaliza muda wake Dkt. Mohd Jidawi
(kushoto) na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya (kulia) Dkt. Juma Malik Akili
alievaa kofia katika Ofisi ya Wizara hiyo Mnazimmoja, Mjini Zanzibar.
Katibu
Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Afya Dkt. Mohd Jidawi akiwashukuru
wafanyakazi wa Wizara hiyo kwa ushirikiano mkubwa waliompa wakati wa
kutekeleza majukumu yake.
Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Dkt.
Juma Malik Akili wakimsikiliza katibu Mkuu mstaafu Dkt. Mohd Jidawi
(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizara ya Afya
Mnazimmoja.
Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi cheti cha heshima Katibu Mkuu
mstaafu wa Wizara hiyo Dkt. Mohd Jidawi katika hafla ya kumuaga
iliyofanyika Wizarani, Mnazimmoja. Wa kwanza (kushoto) ni mke wa Dkt.
Jidawi, Dkt. Mwanaheri Jidawi.
Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi meza yenye mlango wa Zanzibar
(Zanzibar Door), Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara hiyo Dkt. Mohd Jidawi
katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizarani, Mnazimmoja. Wa kwanza
(kushoto) ni mke wa Dkt. Jidawi, Dkt. Mwanaheri Jidawi.
Waziri
wa Afya Mhmoud Thabit Kombo, Katibu Mkuu mstaafu na Katibu Mkuu mpya
katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi walioshiriki katika
hafla hiyo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
DK. SHEIN AONGOZA SIKU YA KILELE CHA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI ZANZIBAR
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi, wakipita mbele yake wakati wa sherehe za siku ya Wafanyakazi
Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi,(pichani) Vijana waliobeba bango kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili
ya Rais akipita mbele yake wakati wa sherehe za sikuya Wafanyakazi
Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]
Baadhi
ya Viongozi na Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa
katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika
Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo mgeni rasmin akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
,[Picha na Ikulu.]
Baadhi
ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi
wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo
katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,mgeni rasmin akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi
za Serikali na Binafsi wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo mgeni rasmin akiwa Baadhi ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi
za Serikali na Binafsi wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo mgeni rasmin akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakinyanyua mikono juu
kuashiria Mshikamano wakati wa sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi
Duniani,ambazo sherehe zimewajumuisha mbali mbali wa Taasisi za
Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi zawadi Musssa Yussuf wa ZSSF Laki Sitafedha taslim akiwa
mfanyakazi Bora Chama cha ZAFICOWV katika sherehe za Siku ya wafanyakazi
Duniani Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimakabidhi zawadi Bi.Asya Rajab Said fedha taslim laki tano,kutoka
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa mfanyakazi
Bora Chama cha ZUPHE katika sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani
Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi pamoja na Wananchi wakati wa Kilele cha siku ya Wafayakazi
Duniani sherehe zilizofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment