Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye
thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za vinywaji baidi za
Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola- SBC katika makabidhino
yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam
Februari 25, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt.
Ulisubisya Mpoki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye
thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za vinywaji baidi za
Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC katika makabidhino
yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam
Februari 25, 2016. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt.
Ulisubisya Mpoki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye
thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za vinywaji baidi za
Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC katika makabidhino
yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam
Februari 25, 2016. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt.
Ulisubisya Mpoki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea moja ya vifaa vya hospitali kutoka kwa wawailishi wa makampini
ya Vinywaji baridi ya Coca Cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC
katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo
jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kushoto Mkurugenzi wa Pepsi,
Avinash Jha,Wapili kushoto ni Reginald Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti
Mtendaji wa IPP na Wapili kulia ni Basil Gadzios wa Coca cola Kwanza.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana baadhi ya viongozi vya makampuni ya vinywaji baridi ya
Coca Cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC katika makabidhino ya
vofaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi bilioni 10 yaliyofanyika
kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25,
2016. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Pepsi, Avinash Jha, Reginald Mengi
ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP na Basil Gadzios wa Coca cola
Kwanza. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya
Mpoki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ATETA NA WAFANYABIASHARA MKOA WA ARUSHA,WAAHIDI KUUNGA MKONO SERIKALI
![]() |
| Kamishna wa Kodi za ndani,Shogholo Mgonja akijibu hoja za wafanyabiashara mkoa wa Arusha huku Waziri wa Fedha na Mipango,Philip Mpango akifatilia kwa makini . |
![]() |
| Mfanyabiashara wa Usafirishaji ambaye ni Katibu wa Wamiliki wa magari ya abiria mkoa wa Arusha na Kilimanjaro(AKIBOA)Roken Adolf akiuliza maswali na kutoa maoni ya wanachama wenzake. |
![]() |
| Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha nguo na bidhaa mbalimbali cha A to Z,Anuj Shah akizungumza namna mlolongo wa nyingi unavyowakera wawekezaji wa ndani. |
![]() |
| Mkurugenzi wa Kibo Guides and Tanganyika Wildernes Camps akizungumza kwenye mkutano huo ambao aliiomba serikali kuwabana wafanyabiashara wa utalii wanaokwepa kodi. |
![]() |
| Wafanyabiashara kutoka sekta mbalimbali waliohudhudia mkutano huo |
HALMASHAURI MPYA YA MJI WA MBINGA MKOANI RUVUMA, YAAZIMIA KUNUNUA MITAMBO MAALUMU YA KUSAGA TAKA TAKA
Mkurugenzi wa halmashauri mpya ya mji wa Mbinga OSCAY YAPESA.
…………………………………………………………………………………………………..
Halmashauri mpya ya mji wa
Mbinga mkoani Ruvuma, imeazimia kununua mitambo maalumu ya kusaga
takataka ili kuondokana na hatari ya kukumbwa na magonjwa ya milipuko
inayotokana na uchafu ikiwemo kipindupindu , pia takataka hizo
zitakazokuwa zikisagwa kwenye mitambo hiyo zitatumika kama mbolea kwenye
mashamba ya wakulima.Story kamili hii hapa RUVUMA TV.
Cheka: Nitampa kipigo cha ‘mbwa mwizi’ Mzungu
MKurugenzi wa kampuni ya Advanced
Security Company Limited, Juma Ndambile (wa pili kulia) akimtambulisha
bondia Francis Cheka (wa kwanza kulia) mbele ya bondia Geard Ajetovic
(wa kwanza kushoto) huku promota Jay Msangi (wa pili kushoto)
akishuhudia.
Promota Jay Msangi (katikati) akiutambulisha mkanda kwa mabondia Francis Cheka (wa kwanza kulia) na Geard Ajetovic (kushoto)
Bondia Francis Cheka (kushoto) akipiga picha ya pamoja na Geard Ajetovic mara baada ya kukutana mara ya kwanza.
……………………………………………………………………………………………….BLOGU YA WANANCHI YATIMIZA MIAKA MITATU SHEREHE KUFANYIKA KESHO HOTELI YA HYATT REGENCY KEMPISKY JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mkuu wa Blogu ya Wananchi, William Malecela ‘Le Mutuz’ , akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Blogu ya Wananchi, William Malecela ‘Le Mutuz’ , akionesha
kompyuta mpakato kwa wanahabari ambayo alianza kuitumia baada ya
kuanzisha blogu hiyo miaka mitatu iliyopita.
Mkurugenzi
Mkuu wa Blogu ya Wananchi, William Malecela ‘Le Mutuz’ (kushoto),
akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu blogu hiyo
kutimiza miaka mitatu na semina itakayowakutanisha wasomi wasio na kazi
kuhusu namna ya kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.
………………………………………………………………………………………………
Ofisi ya Uhusiano, Kitengo cha Masoko TANESCO aelimisha umma kuhusu usalama na ubaya wa wizi wa umeme
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha VETA NJIRO,
waliohudhuria kwenye mafunzo ya usalama na wizi wa umeme wa kwanza (Kushoto) ni
Afisa Huduma kwa wateja Bw. Juma Msuya.
waliohudhuria kwenye mafunzo ya usalama na wizi wa umeme wa kwanza (Kushoto) ni
Afisa Huduma kwa wateja Bw. Juma Msuya.
Mwanafunzi wa Chuo cha Veta kilichopo Oljoro mkoani Arusha
akiuliza swali kwa wataalamu wa TANESCO katika mafunzo hayo.
akiuliza swali kwa wataalamu wa TANESCO katika mafunzo hayo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule
ya Msingi Oldonyo Sambu Mkoani Arusha wakiwa na zawadi zao walizopewa
na wataalam wa TANESCO kama zawadi za kushiriki vyema katika mafunzo
hayo na kujibu na kuuliza
maswali, kushoto ni Afisa Mahusiano na Wateja Mkoa wa Arusha Bw.Fred
Mbavai.
maswali, kushoto ni Afisa Mahusiano na Wateja Mkoa wa Arusha Bw.Fred
Mbavai.
Baadhi ya wanafunziwa Shule ya Msingi Mbweni ya jijini Dar es Salaam wakiwa tayari kuwapokea
wataalam kutoka TANESCO kwa ajili ya kupokea elimu kuhusu masuala mbalimbali ya umeme.
wataalam kutoka TANESCO kwa ajili ya kupokea elimu kuhusu masuala mbalimbali ya umeme.
Afisa Masoko Bi. Jenifer
Mgendi kutoka Shirika la Umeme (TANESCO) akitoa zawadi kwa wanafunzi
waliojibu maswali vizuri wakati wa utoaji elimu ya masuala ya umeme,
katika Shule ya Msingi Tandika ya
jijini Dar es Salaam.
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya
Msingi Kisukuru ya jijini Dar es Salaam, wakishangilia zawadi
walizopewa wakati wa wataalam kutoka TANESCO walipotoa elimu ya masuala
ya umeme. Katikati ni Afisa Uhusiano Bi.salama
Kasamalu.
Kasamalu.
Muhimbili Yaendesha Zoezi la Kuchangia Damu Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma Shirikishi
za Tiba katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Praxeda Ogweyo
akifungua zoezi la utoaji damu linaloendelea leo katika viwanja vya
Karume mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Zoezi hilo
linaendea hadi kesho.
Mkurugenzi wa Huduma Shirikishi
za Tiba katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Praxeda Ogweyo
akiongoza zoezi la utoaji damu leo katika viwanja vya Karume mkabala na
Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Muuguzi wa Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili (MNH), Nemganga Kizega akipima afya ya Mkazi wa Vingunguti
jijini Dar es Salaam, Merry Kapande aliyefika leo kuchangia damu katika
viwanja vya karume mkabala na ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Wanafunzi wa Tambaza wakichangia damu leo katika zoezi linaloendelea leo jijini Dar es Salaam.
Dk Patrick Shao ni mmoja wa
wafanyakazi wa Muhimbili ambaye alifika katika viwanja hivyo kwa ajili
ya kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa wenye uhitaji wa damu.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari
ya Tambaza na Jangwani wakisubiri kutoa damu leo katika viwanja wa
Karume mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
………………………………………………………………………………………………………
Hospitali ya Taifa Muhimbili
(MNH) leo emeendesha zoeti la kuchangia damu katika viwanja vya Karume
jijini Dar es Salaam ambako watu wamejitokeza kwa wingi kutoa damu ili
kuokoa maisha ya wagonjwa wenye uhitaji wa damu.
Zoezi hilo limeanza leo asubuhi
na litaendelea hadi kesho. Wanafunzi wa Jangwani Sekondari na Tambaza ni
kati ya makundi yaliojitokeza kutoa damu.
Pia watu mbalimbali wamejitokeza
kwa wingi kutoa damu akiwamu Mkurugenzi wa Huduma Shirikishi za Tiba
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk Praxeda Ugweyo, madaktairi wa
muhimbili na kijana Joseph Starford Mgoha aliyetembea kwa mguu kutoka
Mwanza hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kumuunga mkono Rais John Pombe
Magufuli kutokana na utendaji wake uliotukuka.
Katika zoezi hilo Dk Ogweyo
amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi kuchagia damu ili kuokoa
maisha ya wagonjwa wanaohitaji damu.
Pia, amesema zoezi hilo litakuwa
endelevu na amewaondoa shaka Watanzania kwamba utoaji wa damu hauna
madhara yoyote kwa kuwa kabla ya mtu kutoa damu anaandaliwa kitaalamu
ili kufanikisha kazi hiyo.
UTT-PID YATEMEBELEWA NA MKURUGENZI WA MIPANGO WIZARA YA FEDHA JIJINI DAR ES SALAAM
Afisa Mtenaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID,
Dkt. Gration Kamugisha (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, wakati mkurugenzi huyo na tmu yake walipotembelea taasisi hiyo jijini
Dar es Salaam jana, kwa lengo la kujua maendeleo ya taasisi na changamoto wanazokabiliana nazo ili kutafuta ufumbuzi wa kuzishughulikia changamoto hizo.
Dkt. Gration Kamugisha (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, wakati mkurugenzi huyo na tmu yake walipotembelea taasisi hiyo jijini
Dar es Salaam jana, kwa lengo la kujua maendeleo ya taasisi na changamoto wanazokabiliana nazo ili kutafuta ufumbuzi wa kuzishughulikia changamoto hizo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID,
Dkt. Gration Kamugisha(aliyesimama kushoto), akielezea mafanikio ya taasisi hiyo na changamoto inayokabiliana nazo wakati timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ilipotembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam jana. Timu hiyo iko kwenye ziara ya kukutana na watendaji wa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo hususan Ofisi ya Msajili wa Hazina.
Dkt. Gration Kamugisha(aliyesimama kushoto), akielezea mafanikio ya taasisi hiyo na changamoto inayokabiliana nazo wakati timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ilipotembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam jana. Timu hiyo iko kwenye ziara ya kukutana na watendaji wa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo hususan Ofisi ya Msajili wa Hazina.
Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo
Dkt. Kamugisha akielezea mafanikiona changamoto ambazo UTT-PID inapambana nazo

Dkt. Kamugisha (katikati), Mkuu wa Kitengo cha Sheria, UTT-PID, Tuzo Mpiluka, na Mkuu wa kitengo cha Operesheni, Alexsandar Nikolik
Dkt. Kamugisha na kushoto ni Mkuu wa Operesheni wa UTT-PID, Alexsandar Nikolik
Mkuu wa Kitengo cha Sheria, UTT-PID, Tuzo Mpiluka, akifafanua jambo, huku Dkt. Kamugisha (kushoto) na Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo
Kaimu
Mkuu wa Masuala ya kampuni (Head of Corporate Affairs), Eugenia Simon,
(katikati), akizungmza huku Mkurugenzi wa Mipango wa wizara ya Fedha na
Mipango, Richard Mkumbo, (kulia) na Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo
Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo
Msabaha
A. Msabaha (kulia), Afisa mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango,
aliyefuatana na Mkurugenzi wa Mipango Richard Mkumbo, akizungumza
kwenye kikao hicho. Kushoto ni Afisa Mwingine mwanadamizi kutoka wizara
hiyo, Masoud Ridhiwani
Afisa
mwandamizi kutoka Wizara ya Fedhana Mipango, Masoud Ridhiwani
akizungumza kwenyekikao hicho. Kshoto ni Mkurugenziwa Mipango, Richard
Mkumbo.
Mkuu wa kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi cha UTT-PID, Milton Shango, (kulia), akizungumza kwenye kikao hicho.
Bw. Shango akifuatilia kikao kwa makini
Bw. Mkumbo akizungumza na uongozi wa juu wa UTT-PID
WAZIRI MBARAWA AZITAKA TAASISI ZA WIZARA YAKE KUSHIRIKIANA
Meneja wa Wakala wa Barabara mkoa
wa Kilimanjaro Eng. Marwa Rubirya akitoa taarifa ya utekelezaji wa
TANROADS kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame
Mbarawa wakati alipotembelea taasisi hiyo mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw. Amos Makala akifatilia.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na watendaji wa taasisi zilizo
chini ya wizara hiyo kuhusu kufanya kazi kwa uwazi, weledi na uaminifu
ili kuongeza mapato.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw.
Amos Makala akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (katikati) katika kikao cha viongozi wa
sekta zilizo chini ya Wizara hiyo.
Mfanyakazi wa Wakala wa Majengo
(TBA) mkoa wa Kilimanjaro Bi. Welo Makala akifafanua jambo kwa Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani)
katika kikao cha Waziri na Watumishi wa Sekta zilizo chini ya wizara
hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw.
Amos Makala akiteta jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Prof. Makame Mbarawa mara baada ya kikao kati ya Waziri huyo na
watumishi wa sekta zilizo chini ya Wizara yake.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kulia mstari wa mbele) akiwa
katika picha ya pamoja na watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akifurahia jambo na baadhi ya watalii
waliokuwa wakijiandaa kupanda Mlima wa Kilimanjaro katika geti la
Machame mkoani Kilimanjaro.
Muonekano wa lango la Machame la
kupanda Mlima Kilimanjaro inapoishia barabara ya KMT-Machame Km 14.9.
Barabara hiyo ni muhimu kwa watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro.
……………………………………………………………………………………………………………………..
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amezitaka taasisi zote zilizo chini ya
wizara hiyo kufanya kazi kwa uwazi, weledi na uaminifu ili kuongeza
mapato na kutimiza adhma ya Serikali ya kufikia uchumi wa kati ifikapo
2025.
Waziri Mkuu awataka Mawazi kuzingatia Maadili
Waziri Mkuu Mhe. Kassimu
Majaliwa,Majaliwa akizungumza na mawaziri na manaibu waziri wakati wa
semina ya Maadili kwa mawaziri na manaibu waziri yaliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es salaam.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-IKULU)
Waziri ofisi ya Rais Utumishi na
Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki akizungumza wakati wa semina ya
Maadili kwa mawaziri na manaibu waziri yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
salaam.
Kamishna Tume ya Maadili kwa
viongozi wa Umma Jaji Mstaafu salome Kaganda akizungumza wakati wa
semina ya Maadili kwa mawaziri na manaibu waziri yaliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Mawaziri na manaibu
Waziri wakiimba wimbo wa Tanzania Nakupenda ikiwa ni ishara ya kuonesha
uzalendo kwa nchi kabla ya kuanza semina ya Maadili kwa mawaziri na
manaibu waziri yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini
Bi Virginia Blaser akijadiliana jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii
Mh. Profesa Jumanne Maghembe huku mawazili wengine wakisililiza
mazungumzo hayo.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(kulia) akimsikiliza Waziri wa
Maliasili na Utalii Mhe. JumanneMaghembe kabla ya kuanza kwa semina ya
Maadili kwa mawaziri na manaibu waziri yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
salaam katikati ni Waziri ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles
Mwijage
Waziri wa Ardhi,Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kushoto) akizungumza jambo
pamoja na mawaziri wenzake kabla ya kuanza kwa mafunzo semina ya Maadili
kwa mawaziri na manaibu waziri yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam
,kulia ni Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera ,Uratibu, Bunge,Ajira na
Walemavu Mhe. Jenista Muhagama(Kulia na katikati ni Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi.
Naibu Waziri wa mambo ya Ndani
Mh. Hamad Masauni kushoto akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Ofisi
ya Makamu wa Rais Mazingira Mh. Luhaga Mpina huku mawazili wengine
wakupitia makabrasha yao kabla ya kuanza kwa semina hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa semina hiyo kwa mawaziri na manaibu
iliyotolewa na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.
…………………………………………………………………………………………………………………………
Timu ya Tenisi ya Tanzania yashika namba mbili Afrika
Na. Lilian Lundo – Maelezo
Timu ya mchezo wa Tenisi kwa
walemavu (wheelchair tennis) ya Tanzania imeshika namba mbili Afrika
katika mashindao ya mchezo huo yaliyofanyika hivi karibuni jijini
Nairobi.
Hayo yalisemwa na kocha wa timu
hiyo Bw. Riziki Salum leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akiongea na
vyombo vya habari juu ya ushindi walioupata
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI A TANZANIA NCHINI KUWEIT LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa
Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi
alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Februari
25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa
Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim wakati Balozi Mahadhi
alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo
Februari 25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha. (Picha na OMR)
TAASISI YA KIISLAMU YA MUZDALIFAT YATOA VIFAA MBALIMBALI VYA HOSPITALI ZANZIBAR.
Baadhi ya vifaa mbalimbali vya
Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu
arobaini na tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat
kwa kushirikiana na Taasisi ya Helping Hand yenye makao Makuu nchini
Marekani.
Wanafunzi wa skuli ya Sekondari
ya Farouk Aktas Muslim iliopo kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja
wakihudhuria katika Hafla ya Utoaji wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali
vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu arobaini na tano
Elfu)kutoka Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na
Taasisi ya Helping Hand yenye makao Makuu nchini Marekani.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Halima Salum katikati akipata maelezo kwa Muakilishi wa Taasisi ya
Helping Hand Mohammad Habibu kuhusiana na Vifaa mbalimbali vya Hospitali
vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu arobaini na
tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa
kushirikiana na Taasisi yake yenye makao Makuu nchini Marekani.hafla
iliofanyika Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya
Muzdalifat Farouk Hamadi akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi
katika Hafla ya kutoa Vifaa mbalimbali vya Hospitali iliofanyika Kisauni
Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Naibu katibu Mkuu Wizara ya
Afya Halima Salum akikabidhiwa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye
thamani ya Dola za Kimarekani 3,45000 (laki tatu Arobaini na Tano Elfu)
na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Muzdalifat Farouk Hamadi.wa kwanza
kushoto ni Muakilishi wa Taasisi ya Helping Hand yenye makao makuu
Nchini Marekani Mohammad Habibu.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Afya Halima Salum akitoa hotuba baada ya kupokea Vifaa mbalimbali vya
Hospitali vyenye thamani ya Dola za Kimarekani 3,45000 (laki tatu
Arobaini na Tano Elfu) vilivyotolewa na Taasisi ya Muzdalifat Kisauni
Wilaya ya Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Mchezaji Taifa Stars apongeza Tamasha la Pasaka
Na Mwandishi Wetu
ALIYEKUWA beki wa kushoto wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa
Stars’ Alphonce Modest amelipongeza Tamasha la Pasaka linaloandaliwa na
Kampuni ya saa Promotions kwa sababu linawakumbuka wenye uhitaji
maalumNAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AMWAKILISHA MAKAMU WA RAIS KUZINDUA TAWI JIPYA LA BENKI YA AMANA MBAGALA DAR ES SALAAM, LEO.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Ashantu Kijaji, akifunua kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la
msingi katika Jengo la Benki ya Amana, wakati alipokuwa akimwakilisha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan kuzindua Tawi jipya la Benki hiyo lililofunguliwa Mbagala Zakiem
jijini Dar es Salaam, leo Feb 25, 2016. Kulia ni Mbunge wa Viti maalumu
CCM, Mariam Kisangi (kulia kwa Waziri) ni Mkurugenzi wa Amana Benki,
Dkt. Muhsin Salim Masoud (na wa pili kulia) ni Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi, Abdallah Al-Nahdi. Picha na Sufianimafoto Blog
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Ashantu Kijaji (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Tawi jipya
la Benki ya Amana, wakati alipokuwa akimwakilisha Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Tawi
hilo lililofunguliwa leo Feb 25, 2016 Mbagala Zakiem jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki hiyo, Dkt. Muhsin Salim Masoud
(kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Abdallah Al- Nahdi.
Picha na Sufianimafoto Blog
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Ashantu Kijaji (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Tawi jipya
la Benki ya Amana, wakati alipokuwa akimwakilisha Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Tawi
hilo lililofunguliwa leo Feb 25, 2016 Mbagala Zakiem jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki hiyo, Dkt. Muhsin Salim Masoud
(kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Abdallah Al- Nahdi.
Picha na Sufianimafoto Blog
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Ashantu Kijaji, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Tawi jipya la
Benki ya Amana lililofunguliwa Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam,
ambapo Mhe. Kijaji alimwakilisha Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwenye uzinduzi huo. Picha na
Sufianimafoto Blog
Mkurugenzi wa Benki Amana, Dkt.
Muhsin Salim Masoud, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi,
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, kuzindua Tawi
hilo kwa niaba ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan. Picha na
Sufianimafoto Blog.
Baadhi ya wadau na wananchi
waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wakimsikiliza Mhe. Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, wakati akihutubia katika uzinduzi
huo, leo. Picha na Sufianimafoto Blog
Baadhi ya wadau na wananchi
waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wakimsikiliza Mhe. Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, wakati akihutubia katika uzinduzi
huo, leo. Picha na Sufianimafoto Blog
Baadhi ya wadau na wananchi
waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wakimsikiliza Mhe. Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, wakati akihutubia katika uzinduzi
huo, leo. Picha na Sufianimafoto Blog
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI MIKOA YA MWANZA, GEITA NA KAGERA
● Aziagiza Halmashauri kushughulikia migogoro ya ardhi
● Azitaka kulisaidia Shirika la Nyumba ili lijenge nyumba za gharama nafuu
● Asema Halmashauri zinunue nyumba zinazojengwa na NHC kwa ajili ya watumishi wao
● Alipongeza NHC kwa kasi ya ujenzi wa nyumba bora katika Halmashauriza Miji na Wilaya
● Azitaka kulisaidia Shirika la Nyumba ili lijenge nyumba za gharama nafuu
● Asema Halmashauri zinunue nyumba zinazojengwa na NHC kwa ajili ya watumishi wao
● Alipongeza NHC kwa kasi ya ujenzi wa nyumba bora katika Halmashauriza Miji na Wilaya
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Sylvester Lubala Mabula
akisalimiana na Watumishi wa Hamashauri ya Mji wa Buchosa alipowasili
kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Sylvester Lubala Mabula
akipewa maelezo na mtaalam wa mifumo ya uwekaji kumbukumbu za umiliki wa
ardhi alipotembelea idara ya ardhi Wilayani Misungwi. Aliyoko katikati
ni Mkurugenzi wa Halmshauri hiyo Bw. Mshana.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Sylvester Lubala Mabula na
Mbunge wa Chato Mhe.Dkt Medard Kalemani wakikagua eneo la Kijiji cha
Rusungwa lenye mgogoro mkubwa wa ardhi unaofanya wananchi wa kijiji
hicho kukosa ardhi ya kulima na uwekaji huduma za jamii kama shule baada
ya eneo la ekari 500 la kupewa mwekezaji.
Meneja wa NHC Mkoa wa Kagera
Bw. Deogratius Batakanwa akimpewa maelekezo na Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula ya kuhakikisha
kuwa anatoa elimu ya kutosha itakayowezesha wananchi, taasisi na
Halmashauri ya Muleba kukamilisha ununuzi wa nyumba zilizojengwa na NHC
Wilayani Muleba.Naibu Waziri alitembelea nyumba hizo na kulipongeza
Shirika la Nyumba kwa ujenzi wa nyumba bora.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Sylvester Lubala Mabula
akiwa katika picha ya pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Muleba baada
ya kuhutubia Baraza lao na kuliomba liwezeshe ununuzi wa nyumba za
gharama nafuu zilizojengwa na NHC Wilayani humo. Pia aliagiza Baraza
hilo kushiriki kikamilifu katika kutatua migogoro mingi ya ardhi
iliyoko katika Wilaya hiyo.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Sylvester Lubala Mabula
akikagua nyumba zilizojengwa na NHC eneo la Bombambili Mkoani Geita kwa
ajili ya kuuza. Amewataka wananchi na Halmashauri ya Mji wa Geita
kununua nyumba hizo ili kuliwezesha Shirika kuendelea kujenga nyumba
katika Halmashauri zingine.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Sylvester Mabula akiwa na Mbunge
wa Chato Mhe. Dkt Medard Kalemani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati
na Madini wakikagua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Wilayani
Chato. Katika ziara hiyo Naibu Waziri ameishauri Halmashauri ya Chato
kununua nyumba hizo ili NHC iongeze ujenzi wa nyumba zingine kwa ajili
ya kukidhi mahitaji ya nyumba Wilayani humo.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Sylvester Lubala Mabula
akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za NHC Mkoa wa Kagera
alipotembelea na kusalimiana na wafanyakazi wa Shirika hilo.
Meneja wa NHC Mkoa wa Mwanza
Injinia Benedict Kilimba akitoa maelezo ya mradi wa nyumba za gharama
nafuu zilizojengwa na NHC Bombambili Geita, kwa Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula alipotembelea
mradi huo. Mhe. Naibu Waziri ameziagiza Halmashauri nchini kusaidia
uwekaji wa miundombinu kwenye maeneo ya ujenzi wa nyumba hizo pamoja na
kutoa ardhi bure kwa NHC ili nyumba zinazojengwa ziwe na gharama nafuu
kwa mnunuzi.
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi
Bibi Mwajuma Nyiruka akitoa taarifa ya sekta ya ardhi ya Wilaya yake
kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt
Angeline Sylvester Lubala Mabula alipoitembelea Halmashauri ya Misungwi
kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi.
Baraza la Madiwani Muleba
wakimsikilza Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.
Dkt Angeline Mabula (hayuko pichani) alipohutubia Baraza hilo.
KAMPUNI YA KUOSHA MAGARI KWA KUTUMIA MVUKE YA SHINE ECO WASH LIMITED YATUA JIJINI DAR ES SALAAM
Baadhi ya magari ya wateja
yakiendelea kuoshwa katika kampuni ya Shine Eco Wash Limited yenye
makazi yake Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wafanyakazi katika
kampuni ya Shine Eco Wash Limited yenye makazi yake Mlimani City jijini
Dar es Salaam akiendelea na kazi ya uoshaji.
Kazi ya uoshaji wa magari ikiendelea katika kampuni hiyo
……………………………………………………………………………………………………………….
Na Greyson Mwase
Kampuni inayojishughulisha na uoshaji wa magari kwa njia ya mvuke imeanza kutoa huduma zake jijini Dar es Salaam.
WIZARA YALAANI MAUAJI YA MTOTO MARIAM DEOGRATIUS (4) ALIYEBAKWA NA KUUAWA ENEO LA MAKOKO, MUSOMA MKOANI MARA
Wizara inalaani vikali tukio la
kubakwa na kuuawa kikatili kwa mtoto Mariam Deoratius, umri miaka 4,
ambaye alifanyiwa ukatili huo na watu wasiojulikana, eneo la Makoko,
Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, mapema wiki hii.
Wizara imesikitishwa na mazingira
ya mauaji ya mtoto huyo mdogo asiyekuwa na hatia, ambaye aliokotwa
kwenye banda linalojengwa akiwa ameharibiwa sehemu zake za siri, kutokwa
na damu nyingi na akiwa amefariki dunia. Mauaji haya ni ukiukwaji
mkubwa wa haki ya kuishi ya mtoto ambayo ndiyo ni haki yake ya msingi.
Haki hii inapovunjwa inarudisha nyuma jitihada za Taifa letu kufanya
jamii zetu kuwa mahali salama kwa watoto kuishi.
Wizara inaamini kuwa, Mamlaka
zinazohusika na ulinzi wa watoto dhidi ya ukatili katika Mkoa wa Mara
hususan Manispaa ya Musoma, kuhakikisha mtuhumiwa anafikishwa mbele ya
vyombo vya sheria ili haki iweze kutendeka, na kuwa
fundisho kwa wanaoendeleza ukatili wa watoto. Kwa tukio hili, jamii inahimizwa kubadilika na kuhakikisha kuwa ulinzi wa watoto ni jukumu la wazazi, walezi na watu wote katika jamii.
fundisho kwa wanaoendeleza ukatili wa watoto. Kwa tukio hili, jamii inahimizwa kubadilika na kuhakikisha kuwa ulinzi wa watoto ni jukumu la wazazi, walezi na watu wote katika jamii.
Wizara inatoa pole kwa wazazi,
ndugu, marafiki na familia ya mtoto Mariam aliyeuawa katika umri mdogo
na tunawaomba kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu.
- S. Nkinga
KATIBU MKUU
25/02/2016
WAZIRI LUHAGA MPINA AKIHOJIWA TBC LEO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano Mazingira Mh. Luhaga Mpina ,katika vipindi vya radio na
Televison asubuhi ya leo, kwenye studio za Shirika la Utangazaji la
Taifa TBC katika kipindi cha Televisheni cha Jambo Tanzania cha TBC1 na
kipindi cha Aasubuhi hii katika kituo cha TBC Taifa..Picha na Evelyn
Mkokoi Ofisi ya makamu wa Rais
Wawekezaji sekta ndogo ya gesi watakiwa kuongeza kasi utekelezaji miradi
Mkurugenzi wa Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James Mataragio (katikati)
akiongea jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo (wa kwanza kushoto) na wawekezaji wa Kampuni za
kutatifi na kuchimba mafuta na gesi nchini. Wa kwanza kulia ni
Mkurugenzi wa Utafiti wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania
(TPDC), Dkt. James Mataragio.
Baadhi ya Wawekezaji wa Kampuni
za kutafiti na kuchimba mafuta na gesi nchini, wakimsikiliza Waziri wa
Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani) wakati wa
kikao chake na wawekezaji hao.
Baadhi ya Wawekezaji wa Kampuni
za kutafiti na kuchimba mafuta na gesi nchini, wakimsikiliza Waziri wa
Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani) wakati wa
kikao chake na wawekezaji hao.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Dodsal, K. Surendran, akitoa taarifa ya utafiti kuhusu Kampuni hiyo
kugundua gesi eneo la Ruvu. Wengine wanaomsikiliza ni Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati). Mkurugenzi wa Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt.
































No comments:
Post a Comment