Makatibu wakuu na
Naibu Katibu wakiapa kabla ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu
baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan,
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe
George Masaju wakishuhudia Katibu Mkuu Kiongozi akiwapa maelekezo
Makatibu wakuu na Naibu Katibu namna ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma
mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1,
2016
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa
akiongea na Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakuu baada ya kusaini Hati
ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam
leo January 1, 2016
No comments:
Post a Comment