Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa
Hifadhi za Jamii wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Arusha (AICC), Juni 2, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Felix Tibenda, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ,Dr. Ramadhani Dau na
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Abubakari Rajab. (Picha na Ofisi
ya Wziri Mkuu).
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa tano wa Mfuko wa hifadhi ya jamii, NSSF
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati alipofungua mkutano huo
kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha, AICC mjini Arusha
Juni 2, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mdau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa
NSSF, Bw.Clement Lori na mkewe Margareth baada ya kufungua mkutano wa
wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha AICC
mjini Arusha Juni 2, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment