REFUGEES AND CLIMATE CHANGE WITHIN A FREE COUNTRY
SOMETIMES
it is very difficult to believe that in a free country like Tanzania,
can have Refugees. May be it is sound very difficult. But let’s define
Refugee according to the Oxford dictionary, “A person who has been
forced to leave their country in order to escape war, persecution, or
natural disaster”.
Here we
can find those factors lead to Refugees, then you will agree with me
sometimes people can leave their homes even due to particular factors to
find another home or remain homeless. One among the factors can be a
natural cause in which most of phenomenons are due to climate Change and
here we get Climate Refugees.
Climate Refugees are those people who leave their homes due to climate change impacts or in simple words we can say are people who must leave their homes and communities because of the effects of climate change and global warming. I could not talk about others; I am confidently talking about my country Tanzania no matter how some people might think that, it is not necessary to talk about this. Regard once George Carlin said that “Those who dance are considered insane by those who cannot hear the music.”
In Tanzania people have been much affected by climate change due to Floods that happening in different regions of Tanzania. Let’s talk about what happened December 2011, where Tanzania was very much affected by heavy rainfall for the first time since its independence 1961. It was reported about sixty seven thousand (67,000) people became homeless in Kilimanjaro, Arusha and Mbeya regions while in Dar es salaam about fifty thousand (50,000) people were affected.
In March 2015 Tanzania also has faced a same challenge of Climate change through the floods that affected the coastal area of Lake Victoria and it was reported that about three thousand and five hundred (3,500) people were affected. It has been reported that most families became Homeless after floods that has been occurred in Tanzania. Mostly in Mwanza, Dar es salaam, Mbeya, Arusha and Kilimanjaro regions. Hence people became homeless and those people subjected as Climate refugees.

KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA YAKE
Katibu
Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi
kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa
Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea Kagera. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye kituo cha mabasi mjini Morogoro maarufu kama Msamvu ambapo aliwaambia wananchi hao huu ni wakati wa kuchagua kiongozi wa kutuongoza hivyo ni vyema wananchi kupima na kuacha ushabiki.

MBUNGE JOSHUA NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA AKABIDHIWA MRADI WA UJENZI WA UKUMBI WA CHAKULA ULIOFADHILIWA NA TANAPA.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gamaakisalimiana na viongozi wa wilaya ya Rombo mara baada ya kuwasili katika shule ya sekondari Olele iliyopo kata ya Olele kwa ajili ya kukabidhi Mradi wa ujenzi wa ukumbi wa Chakula uliojengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi za Taifa , Tanzania (TANAPA).
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Rombo Lembris Kipuyo wakifurahia nyimbo iliyokuwa ikiimbwa na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Olele wakati alipofika kwa ajili ya uzinduizi na makabidhiano rasmi ya ukumbi wa chakula uliojengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).
RC ,Gamana iongozi wengine wakiskilizanyimbo iliyokuwa ikiimbwa na kwaya ya shule ya sekondari Olele wilayani Rombo.
DC ILALA, ORIJINO KOMEDI WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KATA YA KIVUKONI
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto) akishiriki zoezi la usafi
katika fukwe ya Bahari ya Hindi eneo la Aga Khan kata ya Kivukoni ikiwa
ni maadhimisho ya wiki ya Mazingira huku akishirikiana na viongozi wa
kampuni iliyopewa zabuni ya kusafisha manispaa ya Ilala Green Waste Pro
Ltd pamoja na wafanyakazi wa manispaa ya Ilala jana asubuhi. Wa pili
kushoto ni Meneja wa mwendeshaji wa kampuni ya Green Waste Pro Ltd,
Abdallah Mbena.
Mkurugenzi
wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo (kushoto) akifanya usafi
kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi kata ya Kivukoni karibu na maeneo ya
Aga Khan sambamba na wafanyakazi wenzake pamoja na Muandaaji wa vipindi
vya Orijino Komedi, Sekioni David 'Seki' (wa kwanza kulia) katika
kuadhimisha wiki ya Mazingira.
Wafanyakazi
wa Manispaa ya Ilala wakiendelea kufanya usafi katika fukwe ya Bahari
ya Hindi kata ya Kivukoni eneo la Aga Khan jijini Dar ikiwa ni wiki ya
Mazingira. Katikati ni Meneja wa mwendeshaji wa kampuni ya Green Waste
Pro Ltd, Abdallah Mbena.
Wadau
mbalimbali kutoka Green WastePro Ltd, Manispaa ya Ilala, Forum CC
pamoja na wasanii mbalimbali wakiendelea kufanya usafi kwenye fukwe ya
bahari ya Hindi kata ya Kivukoni katika maadhimisho ya wiki ya
Mazingira.
Hali ilivyokuwa kabla ya kufanya usafi.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi(katikati) akiteta jambo na Mkurugenzi
wa Green Waste Pro Ltd Ndg. Mark Anthony Shay o(kulia) wakati wa zoezi
la kusafisha fukwe ya Bahari ya Hindi eneo la Aga Khan jijini Dar ikiwa
ni wiki ya Mazingira. Kushoto ni Msanii maarufu wa kundi la vichekesho
la Orijino Komedi, Lukac Mhavile "Joti"
WABUNGE WAMLILIA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA, MHE. EUGEN MWAIPOSA WAKATI WAKITOA HESHIMA ZA MWISHO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
Katibu
Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue (kulia) akisalimiana na Waziri wa
Fedha wa zamani na Mbunge wa Kilosa Mhe. Mustafa Mkulo alipowasili
kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuaga mwili wa
marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga jijini Dar es
Salaam.Kutoka
kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue, Naibu Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Waziri Mkuu
Mhe. Mizengo Pinda, Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu,
Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bibi
Chiku Galawa wakiwa kwenye shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Mhe.
Eugen Mwaiposa.
BALOZI SEIF AZUNGUMZA WANA CCM WA MATAWI KUMBAUREMBO NA CAIRO
Mke wa
Mbunge wa Kitope Mama Asha Suleiman Iddi akiwanasihi wazazi kuendelea
kuwaonyesha njia watoto wao wakati akizungumza kwenye mkutano wa ccm wa
Matawi ya Kumbaurembo na Cairo katika Kijiji cha Kiwengwa ndani ya Jimbo
la Kitope.Kulia ya Mama Asha ni Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akimjuilia Hali Muwasisi wa ASP na Muanzilishi wa CCM Bibi Fatma Suleriman Sio Katika Kijiji cha Kiwengwa.
Balozi Seif ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kitope akimsalimia Mzee Haji Muhidini katika Mtaa wa Kumburembo Kiwengwa akiwa katika ziara ya kuwajulia hali Wazee waasisi wa Afro Shirazy Party.

MATUKIO YA MAZISHI YA MHE. SAMWELI NTAMBALA LWANGISA LEO JUMATANO JUNI 3, 2015 KITENDAGURO-BUKOBA.
Na Faustine Ruta, Bukoba
Mamia ya Waakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa leo Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.

Mbunge wa muleba kusini Prof Anna Kajumulo Tibaijuka
Wanakwaya Mbalimbali walihudhuria Mazishi hayo
Baadhi ya Viongozi wa dini (katikati) ni Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini.
MH SITTA APEWA CHEO CHA MWIZUKULU MKUU WA UNYANYEMBE
Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira akimtambikia Mh Samuel Sitta ambaye ni binamu yake. Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira leo hii asubuhi alimpa cheo cha Mwizukulu mkulu Mh Samuel Sitta katika kutambua safari yake ya kukiomba chama chake cha CCM kimpe ridhaa ya kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. |
Mh Samuel Sitta akiwa na mkewe Mh Magreth Sitta wakisubiri kutambikiwa. |
No comments:
Post a Comment