Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori akimpatia maelekezo, MC wa Mkutano wa tano wa Wadau
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sauda Simba wakati wa
Mkutano huo unaonedelea leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Meneja
Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Kilimanjaro, Delfina Masika akitoa maelezo juu
ya uendeshaji na muenendo wa Mfuko wa NSSF, wakati wa Mkutano wa tano wa
Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano
wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mkurugenzi wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada iliyohusu mambo ya Uwekezaji, kwenye Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment