Pages

Saturday, April 22, 2023

RAIS SAMIA ASHIRIKI SALA YA EID EL-FITRI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.


 

No comments:

Post a Comment