Pages

Saturday, February 11, 2023

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MASHIRIKISHO YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na ZAHLIFE kutoka Zanzibar pamoja na Wale wanaowakilisha Serikali za Wanafunzi kutoka Taasisi za Elimu ya Juu, Tanzania Bara na Zanzibar kwenye Mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Februari, 2023.

DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na ZAHLIFE kutoka Zanzibar pamoja na wale wanaowakilisha Serikali za Wanafunzi kutoka Taasisi za Elimu ya Juu, Tanzania Bara na Zanzibar kwenye Mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Februari, 2023.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wale wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), ZAHLIFE wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolph Mkenda wakati akizungumza na Viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na ZAHLIFE kutoka Zanzibar mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolph Mkenda katika picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na ZAHLIFE kutoka Zanzibar mara baada ya mazungumzo, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Februari, 2023.

No comments:

Post a Comment