Pages

Saturday, January 7, 2023

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AZINDUA HOSPITALI MPYA YA WILAYA YA KITOGANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023, lililojengwa kupitia fedha za UVIKO-19 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kushoto )Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla









MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, lililojengwa kwa Fedha za UVIKO -19, lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar






No comments:

Post a Comment