Pages

Tuesday, January 3, 2023

RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya viongozi akimteua balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi wa Kudumu kwenye Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekank.
Nafasi yake imejazwa na Bw. Moses Kusiluka.
 Rais pia amemteua Diwani Athuman Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Aidha Said Hussein Masoro ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa.
 

No comments:

Post a Comment