Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuhutubia katika Kongamano la Kimataifa la 22 la World Travel & Tourism Council Global Summit linalofanyika katika Hoteli ya Ritz-Carlton Riyadh, Saudi Arabia.
Katika Kongamano hilo la Kimataifa Rais Dk. Mwinyi anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
No comments:
Post a Comment