Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine waliohudhuria kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia katika ukumbi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wananchi waliohudhuria kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wadau mbalimbali kwenye mabanda ya maonesho kuhusu matumizi ya Nishati safi ya kupikia kabla ya kufungua Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wadau mbalimbali kwenye mabanda ya maonesho kuhusu matumizi ya Nishati safi ya kupikia kabla ya kufungua Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia lililofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar Es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na waziri wa wizara ya Nishati Mhe. January Makamba mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Novemba mosi kwenye kongamano la Kitaifa la Nishati safi ya kupikia . Mjadala huo utafanyika kwa siku 2 ukiwashirikisha taasisi,wadau na viongozi mbalimbali kuleta Suluhisho kwa jamii kuhamia kwenye nishati safi ya kupikia isiyoleta madhara ya kiafya,kiuchumi na kimazingira.
No comments:
Post a Comment