Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 22 Novemba, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment