Pages

Thursday, September 8, 2022

RAIS SAMIA AHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NDC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na Wageni mbalimbali kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) yaliyofanyika Chuoni hapo Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) https://t.co/b0PkIeq8yQ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa Cheti kama ishara ya kutunukiwa Tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) na Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Ibrahim Michael Mhona kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.






No comments:

Post a Comment