Pages

Monday, September 12, 2022

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE NA VIJANA WA ENEO HURU LA BIASHARA AFRIKA

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Nchi kwenye Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam tarehe 12 Septemba, 2022 
Matukio mbalimbali katika Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam tarehe 12 Septemba, 2022.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiangalia Bidhaa katika mabanda mbalimbali ya Maonesho kabla ya kuhutubia viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Nchi kwenye Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) katika ukumbi wa (JNICC).

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali mara baada ya Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali mara baada ya Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment