Pages

Monday, July 11, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN MWINYI AONGOZA DHIFA YA KITAIFA KWA WATOTO YATIMA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa Mgeni Rasmi ameongoza viongozi na wananchi wa Zanzibar katika Dua na dhifa ya Kitaifa ya watoto yatima iliyofanyika katika viwanja vya Mao Zedong, Zanzibar, Julai 11, 2022.











No comments:

Post a Comment