Pages

Tuesday, July 19, 2022

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS TSHISEKEDI WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antonio Tshisekedi uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu Ikulu Chamwino Jijini Dodoma 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Chamwino Jijini Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na  Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Chamwino Jijini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na  Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antonio Tshisekedi mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 19 Julai 2022. Kushoto Balozi wa Congo (DRC) Nchini Tanzania Mhe. Jean Pierre Mutamba

No comments:

Post a Comment