Pages

Sunday, July 24, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA MWENYEKITI MPYA WA EAC, RAIS WA BURUNDI EVARISTE NDAYISHIMIYE IKULU NDOGO ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambae pia ni Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye yaliyofanyika Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 23 Julai, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambae pia ni Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye alipowasili Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 23 Julai, 2022.

No comments:

Post a Comment