Pages

Monday, April 4, 2022

WAZIRI FORD ARIDHISHWA NA UTOAJI HUDUMA ‘ENGENDERHELATH’

Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibian Mhe. Vicky Ford akisalimiana na uongozi wa kituo cha Afya cha EngenderHealth mara baada ya kuwasili kituoni hapo Yombo Vituka Jijini Dar es Salaa

Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibian Mhe. Vicky Ford akiongea na akina mama waliokuwa katika kituo cha afya cha EngenderHealth Yombo Vituka wakati wakisubiria huduma za afya

Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibian Mhe. Vicky Ford akiongea na mmoja wa wauguzi katika kituo cha afya cha EngenderHealth Yombo Vituka

Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibian Mhe. Vicky Ford akiongea na mmoja wa wauguzi katika kituo cha afya cha EngenderHealth Yombo Vituka

Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibian Mhe. Vicky Ford akiwa katika kituo cha huduma ya macho, masikio na utengamao kwa mtoto katika kituo cha afya cha EngenderHealth Yombo Vituka

No comments:

Post a Comment