Pages

Tuesday, March 29, 2022

WAZIRI DKT. NDUMBARO AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (kulia), akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright kuhusu masuala mbalimbali ya Uwekezaji Mahiri katika Vitalu vya Uwindaji wa Wanyamapori . Kikao hicho kimefanyika leo Jijini Dar es Salaam Picha na WMU.


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (kulia), akiagana na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright mara baada ya kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya Uwekezaji Mahiri katika Vitalu vya Uwindaji wa Wanyamapori . Kikao hicho kimefanyika leo Jijini Dar es Salaam  Picha na WMU.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (kulia), akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright kuhusu masuala mbalimbali ya Uwekezaji Mahiri katika Vitalu vya Uwindaji wa Wanyamapori . Kikao hicho kimefanyika leo Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment