RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Ujumbe wa Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (TSSA) ambae pia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Bw. Masha Mshomba (wakwanza kushoto) baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Zanzibar. Mifuko hiyo ni pamoja na ZSSF, NSSF, WCF na PSSSF.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA) ukingozwa na Mwenyekiti wake Bw. Masha Mshomba ambae pia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment