Pages

Thursday, March 31, 2022

NCBA ilivyoshiriki kwenye jukwaa la Financial Women Forum

Nasikiwa Berya, Msaidizi wa Chapa - Benki ya NCBA (kulia) akipokea tuzo ya Meneja Masoko bora wa mwaka kwa niaba ya Caroline Mbaga, Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Uraia wa Benki ya NCBA kutoka jukwaa lijulikanalo kama Financial Women Forum.
Unwanaobong David, Mkuu wa Usimamizi wa Mikopo Hatarishi wa Benki ya NCBA akishiriki kwenye kungamano la kuadhimisha mchango wa viongozi wanawake kwenye sekta ya fedha kwenye jukwaa lijulikanalo kama Financial Women Forum.
Nasikiwa Berya, Msaidizi wa Chapa - Benki ya NCBA (kulia) akipokea tuzo ya Meneja Masoko bora wa mwaka kwa niaba ya Caroline Mbaga, Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Uraia wa Benki ya NCBA kutoka jukwaa lijulikanalo kama Financial Women Forum.
Unwanaobong David, Mkuu wa Usimamizi wa Mikopo Hatarishi wa Benki ya NCBA akipokea tuzo ya Mkuu wa Rasilimali watu wa mwaka kwa niaba ya Zainab Mushi, Mkuu wa Rasilimali Watu kutoka Benki ya NCBA kwenye jukwa la Financial Women Forum.

No comments:

Post a Comment