Pages

Wednesday, February 2, 2022

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Mnauye, Bungeni jijini Dodoma, Februari 2, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Pindi Chana, Bungeni jijini Dodoma, Februari 2, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment