RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Maji cha Watercom Kinyikani Mchangamdogo Pemba (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, hafla hiyo imefanyika katika kiwanda hicho ikiwa ni shamrashamra za kusherehekekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Kiwanda cha Maji cha Watercom Kinyikani Mchangamdogo Pemba , hafla hiyo imefanyika katika kiwanda hicho ikiwa ni shamrashamra za kusherehekekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment