KUTOKA UPANGA - DAR.
Waombolezaji mbalimbali wakishiriki Shughuli ya Kuaga mwili wa aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG,Ranwell Mwenisongole aliyefariki hivi karibuni jijini Dar.
Ibada ya Kumuaga Marehemu Mwenisongole imefanyika leo Katika Kanisa la CITY CHRISTIAN CHURCH (CCC) lililopo Upanga mkabala na Chuo cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam,Baada ya kuagwa Mwili wa Marehemu unatarajiwa kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao Wilayani Mbozi mkoani Songwe kwa Mazishi.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN
PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-MMG
No comments:
Post a Comment