Pages

Wednesday, September 29, 2021

WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA COMORO NCHINI, WAKUBALIANA KUSHIRIKIANA MASUALA YA ULINZI NA USALAMA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania, Dkt..Ahamada El Badaoui, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika ofisi ya Waziri huyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akimsikiliza Balozi wa Comoro Nchini Tanzania, Dkt..Ahamada El Badaoui, katika kikao kilichojadili masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika ofisi ya Waziri huyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimshukuru Balozi wa Comoro Nchini Tanzania, Dkt..Ahamada El Badaoui, kwa kumtembelea ofisini kwake baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyojadili masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment